chakula akikwambia si kitamu .................unamwambia hichi ndo uwezo wangu, kama hukiwezi kwa mapenzi yote ingia wewe jikoni tupikie tule :smile-big:
avumilie basi asiumie roho! na je kisa cha mume kukubali kile cha alichoandaliwa na housegirl?
haaa bwana weee watu wanapenda kujifia kwa mawazo....
Hapo na mimi kidogo ndio nina wasiwasi isije ikawa INFIDELITY iliisha take place muda mrefu bila wife kujua sasa matendo yaanza kujidhihirisha wazi kabisa ila cha muhimu mwanamke inabidi akae na mumewe chini amueleze kila kitu.
avumilie basi asiumie roho! na je kisa cha mume kukubali kile cha alichoandaliwa na housegirl?
hawa wanaume wakipata mtu wa kumvuga akili wanamvuruga kweli kweli, hapo kwangu mie ni cmple, hakuna h/g kupika wala mie cpiki, aje ajipikie chake kitamu.
yaani kuna vitu vyengine vidogo kweli watu wana complicate
utashindwaje ku deal na mumeo kwenye jambo dogo kama hilo?
utarudi kwenu utawaambia ambia vipi wazee? hamna sababu hata moja ya msingi[/QUOTE]
ubarikiwe Gaijin, nilidhani mie nime miss point, hv unarudi nyumbani unasemeje? hakuna kitu nachukia kama kurudi home, mie hata niparangane vp wazo la kurudi home halipo akilini kwangu, yaani ni mpaka kieleweke, utarudi nyumbani mara ngapi kama sio usumbufu tu, 6 yrs sasa cjawahi rudi nyumbani kwa ajili ya matatizo, naenda nyumbani kusalimia na kunywa mbege mie.
nimecheka mie, kweli kunawanawake wanapenda kujitesa, mi nikiambiwa chakula si kitamu basi sitapika tena maana mie hupika sababu anapenda nimpikie
hyu mrembo nna wasi wasi nae ni wale waliolelewa kama mayai nyumbani kwao
Angekuta mwanamke mwenye akili zilizofyatuka achelewi kumwambia kama unaona chakula sio kizuri nenda kanunue chips mayai pale kwa mangi ule :becky::becky::becky::becky:
Ende kwao mwezi bila ya sababu ya msingi atizame kama Mr hajageuka mwenyekiti mtendaji wa chama cha wazee wa infidelity
Mwambie kama aliapa kuwa wataishi kwa shida na raha mwambie akomae tu avumilia yana mwanzo na mwisho.
FL1 naomba kukuuliza......Hapa tunatakiwa tumshauri nani? mwanamke? Sasa tukishamshauri utaenda kumwambia mwanamke tuliyomshauri? Sasa mwanaume aspobadili tabia, utakuja kutuomba tena tumshauri na yeye?:confused2::confused2:
Mom dada huyu ameshakuwa na wasichana wawili katika vipindo tofauti lakini hali ndo hiyo.....nitampa advice toka kwako tena