Pls advice, tabia za mmewe zimemchosha... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pls advice, tabia za mmewe zimemchosha...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by FirstLady1, Sep 23, 2010.

 1. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Ni dada wa 28 years yuko na mmewe miaka miwili ya ndoa sasa ..lakini tabia za mmewe zimekuwa kero kwake.
  Mwanamme amekuwa na tabia ya kupekuwa pekuwa jikoni makabati ,chumbani yeye akikaa ndani hatulii,mara atauliza mafuta ya kupikia mara hii yameisha ooh mchele mbona kipindi hiki umekaa kidogo kuvuruga makabati ya vyombo bila mpangilio..na ameshindwa kumwelewa kama yuko sawa.....
  Kibaya zaidi kila dada anapopika chakula na mmewe akajua ni yeye kapika anakula na mwisho atasema chakula si kitamu,lakini kikipikwa na H/G anadai chakula cha leo kitamu..
  Mkewe baada ya kuona hayo akawa anapika chakula anamwacha H/G apakue na kuandaa mezani .mme akimaliza kula anasifia kwa kujua kimepikwa na Beki tatu..Mwanzo alidhani ni kweli hajui kupika lakini baada ya kufanya mbinu hiyo ya kupika na kujifanya kama ni H/G kapika mme kusifia kabaki anashangaa.
  Anadai amechoka na anataka kuikimbia ndoa hii,

  Kina baba/mama msaidieni huyu mwanamama kimawazo??

  NB: kwa niaba ya mwanamke mwenzangu
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  He ndoa two years anataka kutoroka? Hapana mwache avumilie ndo udhaifu wa mumewe huo.
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mwambie kama aliapa kuwa wataishi kwa shida na raha mwambie akomae tu avumilia yana mwanzo na mwisho.
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mambo tayari hapo ujue! :becky: na kwenye kupasi akipasi HG asifii zimenyooka sana:becky::becky:
   
 5. RR

  RR JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  FL1....tukishachangia mawazo hapa utampelkea mke au mme (au wote wanasoma hii thredi?)....just curious...
   
 6. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mwambie abadilishe housegirl, nawe kimbweka pia badilisha housegirl inaelekea wataka kumpandisha cheo
   
 7. M

  Msindima JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mmhh hii kali, akae nae na awe wazi kumweleza kile ambacho kinamkera, maana anaponyamaza anazidisha maumivu ndani ya moyo na mwisho ni kupata stress za ajabu ajabu, kuondoka sidhani kama ni suluhisho,awe wazi kwa kumweleza jinsi ambavyo hizo tabia zinavyomkera.
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Ni vimambo vidogo vidogo sana lakini kila siku vinamuumiza Kichwa..Ila huyo mwanaume wa kushinda jikoni kupekuwa makabati anataka nini?
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Dada Mwenyewe anasoma JF ila si mwanachama kwa hiyo RR mawazo yenu atayafanyia kazi..hebu mpe mwenzetu exprience za maisha ta Ndoa ..
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Mom dada huyu ameshakuwa na wasichana wawili katika vipindo tofauti lakini hali ndo hiyo.....nitampa advice toka kwako tena
   
 11. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Mwambie naye atafute madongo ya kumpigia mmewe...! Au huenda kagundua kuwa huwa mkewe hujituma akipondwa, na kubweteka akisifiwa...! Watu tumetofautiana, na kila mmoja huwa na vitu vyake vya kumpeleka mbele; wengine kwa fimbo, ngumi, makofi: na wengine kwa kubembelezwa, kusifiwa n.k. Pengine akae chini na mmewe wazungumze hayo kwa uwazi kabisa, tatizo litajulikana, na usuluhisho pia utatokea...! Aelewe vema kuwa INFIDELITY ikikaribishwa, kamwe suluhisho halitokea, na atabaki kutaabika maisha yake yote...!
   
 12. RR

  RR JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Ushauri wangu uko limited kwa mme wa huyo rafiki yako....and there is no way i can get hold of him!
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Anataka kukimbia kwa kosa gani alilofanya mumewe binafsi naona kama bado ni tetesi, yaani anataka kukimbia ndoa kwasababu mwanaume anasifia chakula alichopika HG aangalie tu asije akakimbia watu wakainstall HARD DRIVE mpya kwenye mashine, mwambie siku zote inahitaji uvumilivu sasa angegundua mumewe analala na huyo HG ingekuwaje akae avumilie ikibidi aongee na mumewe sio aanze kupeleka malalamiko kwa watu wakati bado hajakaa chini na kuongea na mumewe na kubaini kulikoni hadi yuko hivyo inawezekana mwanamke mwenyewe ndiye mwenye matatizo ila hajui tu mwambie awe makini kufanya maamuzi yake na siyo kukurupuka tu eti ndoa imemshinda ndio kwanza ina miaka 2 wakati anaingia kwenye ndoa alijua fika kwamba ndoa sio lelemama lazima ukomaee vilivyo kama mbeba zege sasa within two years ameishaanza kuona ndoa chungu ndio maana ndoa zimekuwa kama fasheni unaolewa unaachika, unaoa unaacha.
   
 14. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #14
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Mmmhh sasa atafanyaje na tabia ya mumewe. Labda ajikaze amwambie mie sipendi hii tabia unayofanya. Au mpaka kwa hisani ya watu wa marekani ndo wazungumze???
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hayuko confortable na ndoa cause anaona kila anachofanya mme hakithamini ...
   
 16. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahahah RR bwana unataka kumwambia nini huyo Husband ?:becky::becky:
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Mhusika hapa amepaona ila anadai si mzembe wala mvivu kumuhudumia mmewe na anajua ni wajibu wake katika ndoa ila mmewe kwa nn haridhiki na yale mkewe anayomfanyia?
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hivi leo Mod wamepeleka wapi vidude vya asante???
   
 19. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #19
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  housegirl ni wa kazi gani?

  kwanini wasijaribu kuishi wao wawili bila housegirl kwa kuanzia
   
 20. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #20
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huyu jamaa ana mental illness au? huyo dada hana haja ya kujipa kazi kwa kupika yeye na aseme kapika HG kisa eti amridhishe, ni bora wakakaa chini na wazungumzie hili kwakina, otherwise ataishia kusolve one problem na kucreate more other problems.
   
Loading...