Plot inauzwa, SQM 400, imejengwa msingi na kisima kipo

Sacsosanct

Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
65
Reaction score
94
Urgent wakuu!, plot inauzwa, SQM 400, imejengwa msingi na kisima kipo. IPO 2km from main road, Kiluvya Madukani maeneo ya kwa mhindi-tondoroni. Ni nzuri sana! Njoo inbox kwa details zaidi. Mil. 8 tu! Docs zote zipo za kisheria na kitaalamu!
 
Ni ileile au?
 
Hebu weka kwa muda mamba ya mtu yoyote nipate yako
 
Kuna hati ya wizara? Inasoma majina yako??
 
Back
Top Bottom