SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,088
- 75,524
Ninajua tu ndiyo kitakachotokea kesho
Hauna cha kuandika nini? Tutolee pumba zako hapa.
Hii thread italeta maana zaidi kuanzia kesho saa mbili usiku. Kwa sasa una haki ya kuiona kama pumba. Mimi ni mtu ninayeona mbali
Hakuna siku ngumu na chungu katika maisha ya Kashindye, kama Jumapili jioni baada ya wananchi wa Igunga kufanya maamuzi.
Kwanza hawezi kusaini matokeo ya uchaguzi wa Igunga lazima atasema wameibiwa kura.
Dr Slaa, kaishasema tutaibiwa kura kabla hata ya uchaguzi wewe unategemea nini si Pro-CDM JF hiyo lazima itakuwa kauli mbiu yao
Imekuwa desturi sasa kwa Magwanda kukataa matokeo kwa kisingizio cha ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi. Hii imekuwa ikileta matatizo mengi sana hasa katika majimbo husika. Hali kama hii tusingependa itokee kesho kwani serikali imejitahidi sana kuweka kila kitu katika hali ya uwazi na ukweli. Kwakweli magwanda mkikataa matokeo ya uchaguzi wa Igunga mtakuwa mna lenu jambo
umekimbilia JF kabla hata ya kupiga mswaki? Loh kweli njaa mbaya
Wewe umepiga saa ngapi au wewe uwa upigi unasukutua na viroba vya Vldimir Vodka,
Ha! Ha! Ha!
Wewe umepiga saa ngapi au wewe uwa upigi unasukutua na viroba vya Vldimir Vodka,
Ha! Ha! Ha!
Imekuwa desturi sasa kwa Magwanda kukataa matokeo kwa kisingizio cha ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi. Hii imekuwa ikileta matatizo mengi sana hasa katika majimbo husika. Hali kama hii tusingependa itokee kesho kwani serikali imejitahidi sana kuweka kila kitu katika hali ya uwazi na ukweli. Kwakweli magwanda mkikataa matokeo ya uchaguzi wa Igunga mtakuwa mna lenu jambo
Wame kataaje matokeo ya uchaguzi ambao bado hauja fanyika??????????
Kwa hiyo wewe umeshayafahamu hayo matokeo ambayo CDM watayakataa??Ninajua tu ndiyo kitakachotokea kesho
Hauna cha kuandika nini? Tutolee pumba zako hapa.
Imekuwa desturi sasa kwa Magwanda kukataa matokeo kwa kisingizio cha ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi. Hii imekuwa ikileta matatizo mengi sana hasa katika majimbo husika. Hali kama hii tusingependa itokee kesho kwani serikali imejitahidi sana kuweka kila kitu katika hali ya uwazi na ukweli. Kwakweli magwanda mkikataa matokeo ya uchaguzi wa Igunga mtakuwa mna lenu jambo
Haihitaji kuwa na shahada kujua nani ataibuka mshindi kesho! CDM Igunga ina umri wa miezi miwili, unategemea ushindi utoke wapi? Igunga CDM inafukuzia kura za CUF, wana Igunga wamekataa kudanganywa na vyama vya MSIMU wa uchaguzi jimboni mwao.