Please naomba mawazo yenu, ni kazi gani nzuri inayopatikana kwa kusoma kombi ya HGL?

Bryann01

Member
Jul 2, 2014
35
1
Nilikuwa nasomea Science kwa kombi ya PGM, but wizara imenipanga kwa kombi ya HGL. naombeni kujua ni kazi nzuri gani zinazopatikana kwenye hiyo kombi coz sikuwahi kufikiria ni mtu wa aina gani unakuwa kwa kuchukua hiyo kombi.
 
Kapige kwanza kitabu dogo! Nchi hii kazi nzuri na inayolipa ni siasa tu. Ndo maana watu wametelekeza profesional zao wamejazana kwenye siasa.
 
Back
Top Bottom