please daniel...

Pumbavvvvvv mwanaume gani unajiliza kibwege namna hiyo kisa mwanamke?
mi nachowapendea WAUME ZANGU!
EHEHEHHEHEHHEH NI NAMNA MNAVYOWEZA KUNIPIGANIA ASEE!
ikiwa naleta ubishi ni bora MUONDOKE WOTE !hapo tu!
FEEELING VEEERY SPECIAL!!!
ahahahahhahhahhahah cha gharama HULINDWA atiiiii!
 
Heheh,ama kweli money talks,hit the gym man get good physically and keep finding money..
 
Huyu jamaa ana sikitisha sana yani hajiamini hata chembe.ujinga mtupu.
 

Acha umbwiga wew, unalalaaamika kama umelipia vile
 

kama kweli unampenda,utamlinda asichukuliwe na daniela
 
Huyu jamaa ana sikitisha sana yani hajiamini hata chembe.ujinga mtupu.
 
Unatia aibu kwakweli.
we kweli wajojo.
 
What the heck!
...call me stupid, give me all names u can but I can never whine for a lady...if she decides to go, screw her!
 
Huyu mbona kama 'nathan' wa wallang hangan...kamata daniel kasepa na katerinaa
 
Na wewe tafuta mnyonge ummegee! Haipunguzi machungu japo inarudisha hadhi ya kiume
 
mweeeh! mweeeh! mweeeh!

snowhite mtafanya mwenzenu ajitundike kamba ujue!! heheh
 
Last edited by a moderator:
Hakuna demu wa peke ako,Daniel akihonga gari we honga mafuta ya gari,akihonga simu we honga vocha na sio kukaa unalilia wanaume wenzako.
 
hivi vitoto visharobaro vya siku hizi kazi kweli....baadae nchi hii tutakua na vikameruni vingi sana
 
wajojo kwa thread hii unategemea Daniel akuhurumie akuachie mpenzi wako,kweli??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…