Playlist ya kiume. Nyimbo za kiume kwa wanaume

Spartacus boy

JF-Expert Member
Sep 22, 2020
1,572
3,125
Wanaume tumeumbiwa huu ulimwengu.
Movement na maisha ya sasa yamefanya wanaume kuonekana watu wa chini sana.

Wanaume tusimame.
Lakini najua hatuhitaji nguvu au movement kama za wenzetu ili kuonekana sisi ni wanaume.

Tatizo letu ni kuishi kumfurahisha mwanamke mpaka tunasahau malengo yetu kabla ya kuoa.
Unakuta ulipangwa nitakuwa hivi au nitafanya hobby hii ila sababu ya hao wenzetu msimamo inabadilika.

Nachukia kauli hii eti '' mwanaume umia malaya apone''. Serious yaani unatafuta pesa yote kwa ajili ya malaya??

Kuwa responsible father ndio kinachotakiwa.
Kuhakikisha watoto nyumbani wanakuwa njema.
Kuna nyimbo nzuri zinazungumzia fahari ya kulea watoto kimaadili kibaba. Tuliolelewa kiuanaume tunajijua.

Najua tu napitia mazito kwenye kutafuta maisha.

Kuwa mwanaume jipige kifua kusema me ni mwanaume.

BY the way kuna wakati nikiwaga na stress za maisha huwa nasikiliza music ambazo mashairi yake ya kiume hunipa spirit ya kujiona mwanaume na kuimiliki hii dunia as Adam was given this world kabla ya..........

Nikishasikiliza ubongo hupata nguvu ya kupambana.

Music huwa nasikiliza hasahasa asubuhi nikiwa ninaenda mihanagaikoni basi huniletea hali na moyo wa kupambana hatari.


Hizi hapa mwingine anaweza ongezeka.

1.Aloe Blacc_ Am a Man
2. Future _ Mask off
3. Michael jackson _Man in the mirror
4.Drake_ Headlines
5.Geez mabovu_ mtoto wa kiume.
6. The cure _ Boyz don't cry
7. DAZ nundaz_ nipe tano
8. P DIDDY_ coming home
9. Chris brown _miracle
10. Drake _ started from the bottom.
11. Eminem _loose yourself
12. Kanye west _ champion.
13.R.kelly_ the world greatest
14. Kid kudi _ pursue of happiness
15. Kanye west_ Good life
16. Robbie Williams _ better man
17. TI. Live your life
18. Chris brown _fire ft Kap G
19. Kanye west_Stronger.
20. Jack Ingram _that's a man
21. Big sean _one man can change the world


Future anakuambia '' chase a check don't chase a chick''

Chris Brown kwenye nyimbo ya fire anakuambia.' 'I see the nigga I wanna be in the mirror
And I didn't love myself like I do now' '

Geez mabovu hapa ndio kashuka hatari
' mimi ni mtoto wa kiume niache nijitume kama matunda yangu yapo niache niyachume.

. ___________________















Nyingine mnaweza ongezea
 
Ngwear - Nipeni dili.

TMK wanaume -Nyumbani ni Nyumbani.

TMK wanaume famili- umri.

Geez mabovu - Mototo wa kiume.

Darasa - sikati tamaa.

Darasa ft Godzilla&John Makini - sikati tamaa rmx.

Mr II[Sugu] ft stara thomas- wanachotaka.

Jafarai ft daz baba - msinitafute.

Mr II[Sugu] - Deiwaka.

Mr blue - pesa

Kalapina - mstari wa mbele.

B.I.G -Juice

2pac -Life goes on.

B.I.G - Ten cracks Commandments

By the way hizi ni nyimbo zangu pendwa.
 
Nyimbo za Kiume.

1. Fast Life- Kool G ft Nas
2. Get Money-Notorious B.IG
3.Trading War stories-2 Pac
4. Artfacts-Return to the wringside
5.Keep it Going+Big Squig
6.Let's all get High-Da Brat
7.Been there Done that-Dr Dre
8. Hip hope live-KRS One
9.Take that-Don Gargeyone
10.Funky piano at a Toast-E Bros
11.True Lies-Extra Black Adishon
12.Gauge the mental murder-Cranium
13.Junior Mafia ft Aaliyah-I need you to night
14. Check your team-Mad vibes
15.Made Niggaz- 2 Pac ft Outlaws
16.Fantasia -Milmenium
17.Back at you-Mobb Deep
18.Mop Top-I'm alright forever (verbal assault)
19.Notorious Big-Warning
20.Old school survivor-Mission impossible
21.Probable cause-never come close
22.Reservor Doggs-The difference murder
23. Shadez of brooklyn-Change
24.Showbiz &A.G- Next level
25.Slow to speak-On and On
26. Worst comes worst-Dilated people
27. Anticipation-M.O.P
28.Thugz Mansion-2 Pac
29.Whim Am i- Snoop Doggy
30.Keep On keeping On- Mc lyte

Any way, nilitaka kukuandikia nyimbo za kiume kibao! tatizo majukumu tu. .Nenda kazisikilize, ukihitaji zaidi njoo inbox
 
1. Jaymo- Majukumu
2. Gozbert- Ipo siku
3.Solo Thang- Kilio changu
4.Tmk wanaume family-Umri
5. Misosi- Nitoke vipi
6.Babuu-Kimbia
7. Konde boy-Never give up
 
Nyimbo za Kiume.

1. Fast Life- Kool G ft Nas
2. Get Money-Notorious B.IG
3.Trading War stories-2 Pac
4. Artfacts-Return to the wringside
5.Keep it Going+Big Squig
6.Let's all get High-Da Brat
7.Been there Done that-Dr Dre
8. Hip hope live-KRS One
9.Take that-Don Gargeyone
10.Funky piano at a Toast-E Bros
11.True Lies-Extra Black Adishon
12.Gauge the mental murder-Cranium
13.Junior Mafia ft Aaliyah-I need you to night
14. Check your team-Mad vibes
15.Made Niggaz- 2 Pac ft Outlaws
16.Fantasia -Milmenium
17.Back at you-Mobb Deep
18.Mop Top-I'm alright forever (verbal assault)
19.Notorious Big-Warning
20.Old school survivor-Mission impossible
21.Probable cause-never come close
22.Reservor Doggs-The difference murder
23. Shadez of brooklyn-Change
24.Showbiz &A.G- Next level
25.Slow to speak-On and On
26. Worst comes worst-Dilated people
27. Anticipation-M.O.P
28.Thugz Mansion-2 Pac
29.Whim Am i- Snoop Doggy
30.Keep On keeping On- Mc lyte

Any way, nilitaka kukuandikia nyimbo za kiume kibao! tatizo majukumu tu. .Nenda kazisikilize, ukihitaji zaidi njoo inbox

Umesahau The Notorious BIG - Juicy.

Jamaa alikuwa anaelezea jinsi alivyopambana, kutoka kuwa kibaka mpaka kuwa Mfalme wa Brooklyn
 
Drake- chicago freestyle
Kanye- praise lord
Lili wayne ft drake-right above it
Travis scott- Mafia
Kendrick lamar- Money trees
Gunna- pushin P
Lil baby- Grace
Future- life is good
Travis scott- butterfly effect
Dr Dre- still
Kanye- runaway
Drake- Tuscan leather
 
Nyimbo za Kiume.

1. Fast Life- Kool G ft Nas
2. Get Money-Notorious B.IG
3.Trading War stories-2 Pac
4. Artfacts-Return to the wringside
5.Keep it Going+Big Squig
6.Let's all get High-Da Brat
7.Been there Done that-Dr Dre
8. Hip hope live-KRS One
9.Take that-Don Gargeyone
10.Funky piano at a Toast-E Bros
11.True Lies-Extra Black Adishon
12.Gauge the mental murder-Cranium
13.Junior Mafia ft Aaliyah-I need you to night
14. Check your team-Mad vibes
15.Made Niggaz- 2 Pac ft Outlaws
16.Fantasia -Milmenium
17.Back at you-Mobb Deep
18.Mop Top-I'm alright forever (verbal assault)
19.Notorious Big-Warning
20.Old school survivor-Mission impossible
21.Probable cause-never come close
22.Reservor Doggs-The difference murder
23. Shadez of brooklyn-Change
24.Showbiz &A.G- Next level
25.Slow to speak-On and On
26. Worst comes worst-Dilated people
27. Anticipation-M.O.P
28.Thugz Mansion-2 Pac
29.Whim Am i- Snoop Doggy
30.Keep On keeping On- Mc lyte

Any way, nilitaka kukuandikia nyimbo za kiume kibao! tatizo majukumu tu. .Nenda kazisikilize, ukihitaji zaidi njoo inbox
Sawasawa mkuu
 
Nyimbo za Kiume.

1. Fast Life- Kool G ft Nas
2. Get Money-Notorious B.IG
3.Trading War stories-2 Pac
4. Artfacts-Return to the wringside
5.Keep it Going+Big Squig
6.Let's all get High-Da Brat
7.Been there Done that-Dr Dre
8. Hip hope live-KRS One
9.Take that-Don Gargeyone
10.Funky piano at a Toast-E Bros
11.True Lies-Extra Black Adishon
12.Gauge the mental murder-Cranium
13.Junior Mafia ft Aaliyah-I need you to night
14. Check your team-Mad vibes
15.Made Niggaz- 2 Pac ft Outlaws
16.Fantasia -Milmenium
17.Back at you-Mobb Deep
18.Mop Top-I'm alright forever (verbal assault)
19.Notorious Big-Warning
20.Old school survivor-Mission impossible
21.Probable cause-never come close
22.Reservor Doggs-The difference murder
23. Shadez of brooklyn-Change
24.Showbiz &A.G- Next level
25.Slow to speak-On and On
26. Worst comes worst-Dilated people
27. Anticipation-M.O.P
28.Thugz Mansion-2 Pac
29.Whim Am i- Snoop Doggy
30.Keep On keeping On- Mc lyte

Any way, nilitaka kukuandikia nyimbo za kiume kibao! tatizo majukumu tu. .Nenda kazisikilize, ukihitaji zaidi njoo inbox
Sawasawa mkuu
 
Nusu za nyimbo za kiume zimebebwa na Old schol! Hasa hasa kwenye genre ya hiphop! Hasa hasa Wazee wa West coast side! Sasa wewe endelea kuweka kina criss brown halaf! Cjui J’cole! Kina Drake kwa sisi wanaume tunakuwa hatukuelewi
 
Back
Top Bottom