Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 1,936
- 6,074
Gari kali lakini plate number mbaya...Wakenya hebu badilikeni bhana. Plate number kama zimechorwa na mkaa!!
Sure.south africa wana number plates kali sana..hususan zile za GautengView attachment 2205158
Kenya wanajitahidi kwa magari makali lakini plate number zao hovyo kabisa.Gari kali lakini plate number mbaya...Wakenya hebu badilikeni bhana. Plate number kama zimechorwa na mkaa!!
View attachment 2205139
View attachment 2205140
Nazo mbovu tuNakazia..
Hata za wale wenzetu ukivuka maji..
Sijui ni kwa sababu tumezoea hizi za kwetu sana au vipi..
Weka tuzioneNadhan south Sudan ndocwana plate namba Kali sana
Plate number or Number plate?Gari kali lakini plate number mbaya...Wakenya hebu badilikeni bhana. Plate number kama zimechorwa na mkaa!!
View attachment 2205139
View attachment 2205140