Plate No. DGE Ya Gari Ni Nani?

Plate No. DGE Ya Gari Ni Nani?

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
Wakuu salama?

Muda mfup uliopita nilikuwa PPF TOWER nikakutana na gari hili la kisasa white aina ya LUMMA CLAR, lenye no. DGE sijui ni nani huyu? kwani bongo siku hizi raha sana.

Asante!
 
Siyo Mosha kweli huyo,? au mtoto wa Barhesa? maana hayo ndiyo magari yao!!
 
Fisadi hyo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wakuu salama?

Muda mfup uliopita nilikuwa PPF TOWER nikakutana na gari hili la kisasa white aina ya LUMMA CLAR, lenye no. DGE sijui ni nani huyu? kwani bongo siku hizi raha sana.

Asante!
Mkuu hiyo ni range rover lumma clr
 
Fisadi huyo...pita mbali na yeye au popoa vioo vyote kisha laza baharini huyo ni intarahamwe..
 
Marehemu Mgimwa aliruhusu watu kuandika majina yao kwenye plate number kwa kulipia TRA.
 
Kweli bado mnaulizana Plate Number za magari?????? Kazi mnayo haswaaaaaaaa
 
H.jpg
Pigeni picha tu kwenye magari ya watu amjui wameyapataje.........Ngoja ninyamaze tu
 
Wakuu salama?

Muda mfup uliopita nilikuwa PPF TOWER nikakutana na gari hili la kisasa white aina ya LUMMA CLAR, lenye no. DGE sijui ni nani huyu? kwani bongo siku hizi raha sana.

Asante!
Umbea hauna posho ndugu yangu
 
Maisha ni kupeana vijiti,ongeza bidii nawe utakuwa nalo siku moja
 
Back
Top Bottom