Plasidus Luoga afukuzwa kazi TRA kutokana na sakata la Escrow

Kesho ndio mwisho wa kujiandikisha kwenye daftar la mkazi ili watu waweze kuwachagua wajumbe 6 wa mtaa na mwenyekiti wa mtaa................huhitaji kubeba kitambulisho chochote ili uweze kuandikishwa pale kwenye ofisi ya mtendaji katika kata yako.


Chukua hatua wajulishe wengine wengi walio makazini hawajui....FROM KAWE
 

sio kufukuzwa tu...... hata kuhasiwa (castration) kuhusike pamoja na kufilisiwa (insolvency) .
 

Ni mstaafu kama Kimiti.
 

Wewe huyo ndio unayeshangaa? Maajabu ya karne.
 

Yaani Mwigulu kwa kesi hii amekuwa na msimamo mzuri.

Amekuwa mkweli ameweka pembeni itikadi ya chama chake na kutetea uzalendo.

Na wabunge wote wangelikuwa kama Mwigulu hili jambo lingejadiliwa siku moja tu na kufika mwisho.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kwa kuwa sijaisoma kwa undani taarifa ya CAG, siwezi kukueleza ni kwa nini amemtaja kama mfanyakazi wa TRA (hilo sina hakika nalo) lakini ninamfahamu huyu mtu, alikuwa kamishna wa (nadhani) Excise Duty wakati anastaafu
 
mkuu vip kamishna Apollo, yeye hagusiki????
 
Ndugu yangu mtaji wa kampuni unaangaliwa kwenye memorandum of association na articles of association. Kama kampuni imetaja mtaji wake kwenye memarts unafuataje mtaji mwingine.
 

Lini atafilisiwa?
 
Acha uzushi wewe.

kivipi?
Zitto anaenda kuliambia bunge letu kwamba IPTL waliwekeza TZS 50,000, kumuambia ni uongo ni double standard?
Ritz vipi?

Project failed.
Siyo Zitto hiyo ni ripoti ya PAC tufahamishe wewe weka na ushahidi waliwekeza kiasi gani?
 
Last edited by a moderator:

Hebu Ielimishe na hiyo Misukule mingine akina Faiza Foxy, Chabruma, Simiyu yetu & Co. Maana naona wewe at least kwa kunyimwa mgao huu, akili yako imefunguka kwa muda.
 
amefukuzwa sawa,pesa aliyokwiba imeenda wapi?.kachuliwa hatua gani za kisheria?.yupo wapi sasa?.
 

tulia wewe mchumia tumbo. si ndio wewe uliyekuwa ukitetea wezi. mpuuzi kwelikweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…