Plan za CCM kuihujumu CHADEMA Kalenga ni za kipumbavu, tena upumbavu uliopitiliza

elewa we kichwa maji rozi kamili yupo kundi La zitto

Kichwa maji ni wewe kwani kama ingekuwa mtihani basi ungefeli,narudia kukuuliza maswali naomba unijibu,chama chako kilitangaza kupeleka wabunge arobaini jimbo la kalenga,nipe orodha wa majina ya wabunge hao na je rozi kamili si miongoni mwao ? Swali la pili gharama za kurusha chopa ni kubwa,endapo chama chenu kinazimudu kitashindwaje kupata fedha za kuhonga ?
 
Eti Rose kamili slaa ni adui mkuu wa slaa. unaota wewe. hata huo ubunge wa kitu maalumu asingeupata.

Eti mke wa zamani wa Dr. Slaa ambae ni adui mkubwa wa katibu mkuu huyo wa CHADEMA kakamatwa akigawa hela kwa wapiga kura,tena eti polisi wamekwenda kumkamata mtuhumiwa wao kwenye ofisi za CCM. Sasa kwa wenye akili tu.

1.Rose Kamili agawe hela kwa wapiga kura kwa wema gani alionao kwa chama?

2.Rose Kamili Mbunge wa viti maalumu CHADEMA hela za kugawa kwa wapiga kura atazipata wapi?

3. Kwa nini akamatwe na CCM na wala siyo TAKUKURU au Polisi

4. Kwenye team ya kampeni ya CHADEMA aliitwa na nani kwa sababu team yote ilikuwa inajulikana tangi
mwanzo Rose kamili hakuwemo

5. Nani mjinga amweke Rose kamili kwenye kampeni wakati anajulikana toka zamani ni msaliti, mbona wenyewe CCM walimfukuza NAPE kwenye kampeni hizo?

6. Halafu Polisi nao watakubalije kutukiwa namna hii, au RPC kaahidiwa cheo kikubwa atakuwa chini ya IGP?

Akina Mwigulu Mchemba mkajipange upya hii plani yenu im
ebackfire.
 
Eti mke wa zamani wa Dr. Slaa ambae ni adui mkubwa wa katibu mkuu huyo wa CHADEMA kakamatwa akigawa hela kwa wapiga kura,tena eti polisi wamekwenda kumkamata mtuhumiwa wao kwenye ofisi za CCM. Sasa kwa

1.Rose Kamili agawe hela kwa wapiga kura kwa wema gani alionao kwa chama?

2.Rose Kamili Mbunge wa viti maalumu CHADEMA hela za kugawa kwa wapiga kura atazipata wapi?

3. Kwa nini akamatwe na CCM na wala siyo TAKUKURU au Polisi

4. Kwenye team ya kampeni ya CHADEMA aliitwa na nani kwa sababu team yote ilikuwa inajulikana tangi
mwanzo Rose kamili hakuwemo

5. Nani mjinga amweke Rose kamili kwenye kampeni wakati anajulikana toka zamani ni msaliti, mbona wenyewe CCM walimfukuza NAPE kwenye kampeni hizo?

6. Halafu Polisi nao watakubalije kutukiwa namna hii, au RPC kaahidiwa cheo kikubwa atakuwa chini ya IGP?

Akina Mwigulu Mchemba mkajipange upya hii plani yenu im
ebackfire.

Ombi langu baada ya tume ya uchaguzi kutangaza matokeo ya kalenga, Viongozi wa CHADEMA wachapishe matokeo ya kila kituo na kata zote na kuyaweka kwenye mitandao au magazeti ili tujue kama kilichotangazwa na tume ni sahihi ama la.
 
ukiangalia maelezo anayotoa huyo mwenyekiti wa ccm mkoa iringa utagundua kuwa hajui hata anachokizungumza ni nini..kwanza anakuambia alitumiwa msg na mwanakijiji mmoja kuwa kuna mbunge mwnamke anagawa hela wa chadema ila akaipuuza hiyo msg,muda kidogo akapigiwa simu akapewa taarifa hizo ndio akawatuma vijana wake(green guard) waende huko(NA SIYO KUTOA TAARIFA POLISI)...pili walipofika huko wakakuta ni kweli anagawa hizo fedha,wakamchukua wakapiga simu polisi wakaambiwa na polisi kuwa wamchukue waende nae kituoni ili wakutane njiani(HAPO JIULIZE,POLISI HAWATAKI USHAHIDI WAKIMAZINGIRA KATIKA MASWALA KAMA HAYA HADI WAAGIZE MTUHUMIWA APELEKWE KITUONI NA WASHINDANI WAKE??)...tatu katika kumpakiza kwenye gari huyo mbunge wa chadema kina Lema walikuwa wameshapata taarifa kwa hiyo pakatokea purukushani pale(HAPA KUNA MKANGANYIKO MKUBWA WA MAELEZO,wakati mtuhumiwa wao wanamkamata kina lema hawakuwepo ghafla wakawepo-interval of time?? haieleweki),basi tukakimbizana na magari pale ila kwa 7bu kijijini kuna njia nyingi tukafanikiwa kuwaacha(maelezo haya na maelezo ya purukushani hayaendani)..tukamleta hapa ofisi ya ccm(polisi waliwaambia wampeleke kituoni ili wakutane njiani sasa huku ofisi ya ccm kufuata nini?)..
 
Eti mke wa zamani wa Dr. Slaa ambae ni adui mkubwa wa katibu mkuu huyo wa CHADEMA kakamatwa akigawa hela kwa wapiga kura,tena eti polisi wamekwenda kumkamata mtuhumiwa wao kwenye ofisi za CCM. Sasa kwa wenye akili tu. 1.Rose Kamili agawe hela kwa wapiga kura kwa wema gani alionao kwa chama? 2.Rose Kamili Mbunge wa viti maalumu CHADEMA hela za kugawa kwa wapiga kura atazipata wapi? 3. Kwa nini akamatwe na CCM na wala siyo TAKUKURU au Polisi 4. Kwenye team ya kampeni ya CHADEMA aliitwa na nani kwa sababu team yote ilikuwa inajulikana tangi mwanzo Rose kamili hakuwemo 5. Nani mjinga amweke Rose kamili kwenye kampeni wakati anajulikana toka zamani ni msaliti, mbona wenyewe CCM walimfukuza NAPE kwenye kampeni hizo? 6. Halafu Polisi nao watakubalije kutukiwa namna hii, au RPC kaahidiwa cheo kikubwa atakuwa chini ya IGP? Akina Mwigulu Mchemba mkajipange upya hii plani yenu imebackfire.
- Unajua wapambe wa Chadema huwa mna kazi sana kwenye kutetea uozo wenu, I mean what is this mkuu foolish kwanza umeanza na lugha mbovu ambayo hakuna mstaarabu yoyote duniani anaweza kuiruhusu kwenye forums yake halafu pili unaleta theory za kitoto sana haya maneno juu ya Rose Kamili umayafahamu lini jana baada ya kukamtwa akigawa Rushwa? I mean childish na utetezi wa kitoto!! - Asingekamatwa ungesema haya? Mbona hukuwahi kusema huko nyuma kwamba huyu mama sio Chadema ila ni CCM, sasa kwa nini ni mbunge wa Chadema? yaani hata logic huna kabisaa!! Le Mutuz
 
a bloody fool calling others fool

funny!
 
Eti mke wa zamani wa Dr. Slaa ambae ni adui mkubwa wa katibu mkuu huyo wa CHADEMA kakamatwa akigawa hela kwa wapiga kura,tena eti polisi wamekwenda kumkamata mtuhumiwa wao kwenye ofisi za CCM. Sasa kwa wenye akili tu.

1.Rose Kamili agawe hela kwa wapiga kura kwa wema gani alionao kwa chama?

2.Rose Kamili Mbunge wa viti maalumu CHADEMA hela za kugawa kwa wapiga kura atazipata wapi?

3. Kwa nini akamatwe na CCM na wala siyo TAKUKURU au Polisi

4. Kwenye team ya kampeni ya CHADEMA aliitwa na nani kwa sababu team yote ilikuwa inajulikana tangi
mwanzo Rose kamili hakuwemo

5. Nani mjinga amweke Rose kamili kwenye kampeni wakati anajulikana toka zamani ni msaliti, mbona wenyewe CCM walimfukuza NAPE kwenye kampeni hizo?

6. Halafu Polisi nao watakubalije kutukiwa namna hii, au RPC kaahidiwa cheo kikubwa atakuwa chini ya IGP?

Akina Mwigulu Mchemba mkajipange upya hii plani yenu im
ebackfire.

View attachment 145205
 
icon1.png
Re: Plan za CCM kuihujumu CHADEMA Kalenga ni za kipumbavu, tena upumbavu uliopitiliza

a bloody fool calling others fool

funny!

- So ni Chama cha ukombozi wa wapumbavu or what? ha! ha! ha! kwanza jikomboeni wenyewe na upumbavu au fool ndio mtaweza kukomboa wananchi!!

Le Mutuz
 
Msijitoe ufahamu! Hamkuona picha uko chini ya polisi kwa kugawa rushwa? Hao waliomuweka chini ya ulinzi ni ccm? Mbona mnakuwa wachochezi hivi? Fuatane domokrasia siyo rushwa! Huo ni uroho wa madaraka.
 
Mbona wewe umetumia lugha ya hovyo kuliko huyo unayesema siyo mstaarabu?

- Unajua wapambe wa Chadema huwa mna kazi sana kwenye kutetea uozo wenu, I mean what is this mkuu foolish kwanza umeanza na lugha mbovu ambayo hakuna mstaarabu yoyote duniani anaweza kuiruhusu kwenye forums yake halafu pili unaleta theory za kitoto sana haya maneno juu ya Rose Kamili umayafahamu lini jana baada ya kukamtwa akigawa Rushwa? I mean childish na utetezi wa kitoto!! - Asingekamatwa ungesema haya? Mbona hukuwahi kusema huko nyuma kwamba huyu mama sio Chadema ila ni CCM, sasa kwa nini ni mbunge wa Chadema? yaani hata logic huna kabisaa!! Le Mutuz
 
OFIC YA CCM NDYO POLICE?tangia lini cdm wanagawa rushwa?kwnn mnaweweseka hvyo?kweli cdm kiboko ya ccm
 
Sijawahi kuona mchango wa maana wenye logic na analysis toka kwako hata mara moja. Tatizo ni uwezo au makusudi?

Pamoja na mapenzi yetu kwa vyama au watu fulani lakini tusijitoe ufahamu hata baadaye tukajitambulisha kwa jamii kuwa hatuna kitu vichwani mwetu. Huu ni ushauri wa bure.

- So ni Chama cha ukombozi wa wapumbavu or what? ha! ha! ha! kwanza jikomboeni wenyewe na upumbavu au fool ndio mtaweza kukomboa wananchi!!

Le Mutuz
 
Mimi naongozwa na utashi wangu na wala kichwa na akili yangu haishikiliwi na chama chochote, na siyo mtumwa wa chama chochote ingawa naamini kuwa adui mkubwa wa ustawi wa Watanzania ni CCM. Nitafurahi CCM ikishindwa maana itakuwa ni dalili nzuri ya Watanzania kuanza kuondokana na kongwa la utumwa wa CCM. Hata hivyo nafahamu pia kuwa kwenye uchaguzi kuna kushinda na kushindwa. Jibu lolote litakalotokea halitakuwa maajabu, maajabu nikisikia watu wameuawa au kujeruhiwa kwaajili ya uchaguzi maana jamii ya watu waliostaarabika hawapigani kupata uwakilishi au uwakilishi bali huwashawishi wapiga kura kwa ustaarabu na kwa kutumia akilina mbinu za kistaarabu.

- Nyie jipangeni upya Kalenga mmeshapigwa mnajua sana sasa hizi ni kelele za mlango tu!1

Le Mutuz
 
Hii Heading ni ushahidi wa lugha chafu zinazo tumiwa na CHADEMA, hawa nikero katika jamii.

Nakumbuka Mchangaji wao bungeni anatumia lugha kama hizi za MATUSI, walivyomuonya akatoa ushahidi kuwa UPUMBAVU si tusi kama ingekuwa tusi isingetumika kwenye bibilia.... !!! nikakidharau kabisa chama kinachoongozwa na kunguwani wanaojiita watu wa mungu

Mshenzi ni wewe , hili siyo jukwaw la kutukana kama unahitaji jukwaa hilo kalitafute huko.hapa ni gt!!! Jitambue ndugu!!!!
 
Back
Top Bottom