Plan za CCM kuihujumu CHADEMA Kalenga ni za kipumbavu, tena upumbavu uliopitiliza

Hivi Rose alikuwa anagawa shilingi ngapi ngapi kwa hao wananchi. Taifa letu ni la ajabu yaani mtu anafika kijijini kwenu na ni mgeni anagawa fedha na mnapokea. So simple! Lakini inawezekana! 
 
- Unajua wapambe wa Chadema huwa mna kazi sana kwenye kutetea uozo wenu, I mean what is this mkuu foolish kwanza umeanza na lugha mbovu ambayo hakuna mstaarabu yoyote duniani anaweza kuiruhusu kwenye forums yake halafu pili unaleta theory za kitoto sana haya maneno juu ya Rose Kamili umayafahamu lini jana baada ya kukamtwa akigawa Rushwa? I mean childish na utetezi wa kitoto!! - Asingekamatwa ungesema haya? Mbona hukuwahi kusema huko nyuma kwamba huyu mama sio Chadema ila ni CCM, sasa kwa nini ni mbunge wa Chadema? yaani hata logic huna kabisaa!! Le Mutuz

Wewe vipi rafiki yangu? Si nilisikia upo kwenye wabunge wa viti maalum wa bunge la katiba? Au ni uzushi mkuu?
 
Back
Top Bottom