Plan za CCM kuihujumu CHADEMA Kalenga ni za kipumbavu, tena upumbavu uliopitiliza

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
Eti mke wa zamani wa Dr. Slaa ambae ni adui mkubwa wa katibu mkuu huyo wa CHADEMA kakamatwa akigawa hela kwa wapiga kura,tena eti polisi wamekwenda kumkamata mtuhumiwa wao kwenye ofisi za CCM. Sasa kwa wenye akili tu.

1.Rose Kamili agawe hela kwa wapiga kura kwa wema gani alionao kwa chama?

2.Rose Kamili Mbunge wa viti maalumu CHADEMA hela za kugawa kwa wapiga kura atazipata wapi?

3. Kwa nini akamatwe na CCM na wala siyo TAKUKURU au Polisi

4. Kwenye team ya kampeni ya CHADEMA aliitwa na nani kwa sababu team yote ilikuwa inajulikana tangi
mwanzo Rose kamili hakuwemo

5. Nani mjinga amweke Rose kamili kwenye kampeni wakati anajulikana toka zamani ni msaliti, mbona wenyewe CCM walimfukuza NAPE kwenye kampeni hizo?

6. Halafu Polisi nao watakubalije kutukiwa namna hii, au RPC kaahidiwa cheo kikubwa atakuwa chini ya IGP?

Akina Mwigulu Mchemba mkajipange upya hii plani yenu im
ebackfire.
 
Unajua policcm watafikwa mwisho si punde huwezi shindana na nguvu ya umma na ukabaki salama..... time will tell
..
 
tetetetetete.......MIMI NIMEWASHAURI HAO VIONGOZI WACHACHE WA CCM AMBAO BADO WANA HEKIMA KIDOGO KUWA MBINU ZA AINA HII ZIKIENDELEA TUTAVURUGA AMANI YA NCHI, HATUWEZI KUACHA CHAMA KIMOJA KIMKAMATE MPINZANI WAKE....TUKIRUHUSU HILI AMANI ITAVURUGIKA MUDA SI MREFU, LAKINI MARA NYINGI KAMPENI ZA CCM AMBAZO MWIGULU NCHEMBA YUPO MBINU ZA NAMNA HII NI KITU CHA KAWAIDA, TUOMBE MUNGU TU YASITOKEE MAUAJI.
 
Wanaweza kuwa wamempanda achafue kampeni,ccm wanambinu nyingi.Halafu kunawatoaji wakubwa wa rushwa kuliko ccm,jamani tuwe wakweli.Juzi tumesikia Nchemba amezoa benk mil 90 kwenda kugawa Kalenga
 
Unaweza andika machungu yanayosababishwa na ccm mpk ukakauka damu mwilini ila kuna neno moja linaweza beba maana ya maneno yako yote nalo ni "Yana mwisho" mda ni dawa ya kila tatizo
 
Eti mke wa zamani wa Dr. Slaa ambae ni adui mkubwa wa katibu mkuu huyo wa CHADEMA kakamatwa akigawa hela kwa wapiga kura,tena eti polisi wamekwenda kumkamata mtuhumiwa wao kwenye ofisi za CCM. Sasa kwa wenye akili tu.

1.Rose Kamili agawe hela kwa wapiga kura kwa wema gani alionao kwa chama?

2.Rose Kamili Mbunge wa viti maalumu CHADEMA hela za kugawa kwa wapiga kura atazipata wapi?

3. Kwa nini akamatwe na CCM na wala siyo TAKUKURU au Polisi

4. Kwenye team ya kampeni ya CHADEMA aliitwa na nani kwa sababu team yote ilikuwa inajulikana tangi
mwanzo Rose kamili hakuwemo

5. Nani mjinga amweke Rose kamili kwenye kampeni wakati anajulikana toka zamani ni msaliti, mbona wenyewe CCM walimfukuza NAPE kwenye kampeni hizo?

6. Halafu Polisi nao watakubalije kutukiwa namna hii, au RPC kaahidiwa cheo kikubwa atakuwa chini ya IGP?

Akina Mwigulu Mchemba mkajipange upya hii plani

nikuulize swali tunaomba orodha ya wabunge arobaini waliotangazwa na chadema kwenda kalenga na nini majukumu yao ?
 
Eti mke wa zamani wa Dr. Slaa ambae ni adui mkubwa wa katibu mkuu huyo wa CHADEMA kakamatwa akigawa hela kwa wapiga kura,tena eti polisi wamekwenda kumkamata mtuhumiwa wao kwenye ofisi za CCM. Sasa kwa wenye akili tu.

1.Rose Kamili agawe hela kwa wapiga kura kwa wema gani alionao kwa chama?

2.Rose Kamili Mbunge wa viti maalumu CHADEMA hela za kugawa kwa wapiga kura atazipata wapi?

3. Kwa nini akamatwe na CCM na wala siyo TAKUKURU au Polisi

4. Kwenye team ya kampeni ya CHADEMA aliitwa na nani kwa sababu team yote ilikuwa inajulikana tangi
mwanzo Rose kamili hakuwemo

5. Nani mjinga amweke Rose kamili kwenye kampeni wakati anajulikana toka zamani ni msaliti, mbona wenyewe CCM walimfukuza NAPE kwenye kampeni hizo?

6. Halafu Polisi nao watakubalije kutukiwa namna hii, au RPC kaahidiwa cheo kikubwa atakuwa chini ya IGP?

Akina Mwigulu Mchemba mkajipange upya hii plani

Nikuulize swali ,tupe orodha ya majina ya wabunge arobaini waliotangazwa na chama chako kwenda kalenga na nini majukumu yao ? Swali la pili,kurusha chopa ni guarama wapi vhadema inaweza kupata fedha lakini ikashindwa kupata fedha za kuhonga ?
 
msiichonganishe chadema na wananchi, ni kawaida kuwa chadema hawatoi rushwa.
na wananchi wanajua fika kuwa kwa chadema rushwa ni adui wa haki bali kwa maccm rushwa ni rafiki wezi wote.
 
Nikuulize swali ,tupe orodha ya majina ya wabunge arobaini waliotangazwa na chama chako kwenda kalenga na nini majukumu yao ? Swali la pili,kurusha chopa ni guarama wapi vhadema inaweza kupata fedha lakini ikashindwa kupata fedha za kuhonga ?

Kakamatwa anagawa pesa,Polisi wamekuja kumchukua mtuhumiwa kwenye ofisi za CCM, Na wewe nikuulize anawezekanaje mtu ajitekenye mwenyewe halafu acheke mwenyewe?

Kweli POLISI Na akina NGulu NCHEMBA akili zao ziko kwenye magoti

Eti mke wa zamani wa Dr. Slaa ambae ni adui mkubwa wa katibu mkuu huyo wa CHADEMA kakamatwa akigawa hela kwa wapiga kura,tena eti polisi wamekwenda kumkamata mtuhumiwa wao kwenye ofisi za CCM. Sasa kwa wenye akili tu.

1.Rose Kamili agawe hela kwa wapiga kura kwa wema gani alionao kwa chama?

2.Rose Kamili Mbunge wa viti maalumu CHADEMA hela za kugawa kwa wapiga kura atazipata wapi?

3. Kwa nini akamatwe na CCM na wala siyo TAKUKURU au Polisi

4. Kwenye team ya kampeni ya CHADEMA aliitwa na nani kwa sababu team yote ilikuwa inajulikana tangi
mwanzo Rose kamili hakuwemo

5. Nani mjinga amweke Rose kamili kwenye kampeni wakati anajulikana toka zamani ni msaliti, mbona wenyewe CCM walimfukuza NAPE kwenye kampeni hizo?

6. Halafu Polisi nao watakubalije kutukiwa namna hii, au RPC kaahidiwa cheo kikubwa atakuwa chini ya IGP?

Akina Mwigulu Mchemba mkajipange upya hii plani yenu im
ebackfire.
Mkuu acha kupotosha, kwanza Dr.Slaa hajawahi kuoa pili siyo kweli Rose Kamili ni adui mkubwa wa Dr.Slaa, angekuwa adui yake asingempa ubunge.
 
Nikuulize swali ,tupe orodha ya majina ya wabunge arobaini waliotangazwa na chama chako kwenda kalenga na nini majukumu yao ? Swali la pili,kurusha chopa ni guarama wapi vhadema inaweza kupata fedha lakini ikashindwa kupata fedha za kuhonga ?

elewa we kichwa maji rozi kamili yupo kundi La zitto
 
Hii Heading ni ushahidi wa lugha chafu zinazo tumiwa na CHADEMA, hawa nikero katika jamii.

Nakumbuka Mchangaji wao bungeni anatumia lugha kama hizi za MATUSI, walivyomuonya akatoa ushahidi kuwa UPUMBAVU si tusi kama ingekuwa tusi isingetumika kwenye bibilia.... !!! nikakidharau kabisa chama kinachoongozwa na kunguwani wanaojiita watu wa mungu
 
nch ina endeshwa kiholela holela tu...tatizo kubwa ni ujinga wa wananch...pia siasa ndio kabisa adui wa maendeleo!
 
Back
Top Bottom