Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 5,582
- 10,111
Kuna watu wanasema mtu asubiri hisa ishuke kwanza ndio anunue mfano kama hisa ya CRDB ikiwa 1500 mtu anasema ngoja ishuke tena iwe chini ya 1000 ndio anunue , swali la kujiuliza je isiposhuka tena hatanunua? na je ikiendelea kupanda ikafika 5000 wakati wewe unasubiri iwe buku ?
Ushauri wewe kama umeamua kuwekeza kwenye hisa na ukachunguza kampuni iko vizuri nunua hisa baada ya kufanya analysis yako fupi hata kipindi cha miezi kadhaa halafu nunua hisa. Ikitokea zimeshuka sana mfano wewe ulinunua zikiwa 1500 zimefika 1000 badala ya kuuza kwa hasara nunua Tena zikiwa bei ya 1000 kiasi sawa na za mwanzo then subiri zipande zile ulizonunua 1000 zikifika 1500 ukiuza hizo tayari una faida na zile ulizonunua 1500 zimerudI mahala pake endelea kusubiri zikishuka chini ya hapo nunua tena kiasi sawa na ulizonunua 1500 zikipanda tena uza wakati unasubiri zile za mwanzo kupanda . Kumbuka hizi hizi zilikuwaga 500 tsh watu wakaona nikubwa kwahiyo hata hiyo 1500 unaweza kuona nikubwa lakini kuna miaka zitafika 8000 hata kama sio miaka 10 ijayo