PK ndani ya uchaguzi

PK ndani ya uchaguzi

upendo_20

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
1,433
Reaction score
55
Rwanda inafanya uchaguzi wa bunge leo huku chama cha rais Paul Kagame, Patriotic Front, kikitarajiwa kushinda kwa kishindo.
 
Ushindi wa kishindo kwa Afrika una walakini sana.
 
Rwanda inafanya uchaguzi wa bunge leo huku chama cha rais Paul Kagame, Patriotic Front, kikitarajiwa kushinda kwa kishindo.

Hilo ni jambo la kutarajiwa hasa baada ya kuutumia ipaswavyo mgogoro na TZ kujizolea ma'ujiko' 'fake'!
 
Back
Top Bottom