Pitieni hii Wandugu

Pitieni hii Wandugu

Kahamia lini mtaani kwenu toka Iringa au huyu ni mwingine??

9 April 2014

https://www.jamiiforums.com/mahusia...upenda-sana-baby-wangu-lakini-sina-imani.html

Mwenzenu nlikutana na mpenzi wangu chuo huko Mtwara, tuliishi vizuri sana hadi mwaka jana nilipomaliza chuo na kurejea nyumbani na yeye akabak anaendelea na masomo maana nilikuwa namtangulia mwaka mmoja.

Na kwao ni Iringa.

Mpaka sasa tunawasiliana na naendelea kumpa support ya kifedha kama kawaida.

Tatizo linaloniumiza kichwa ni umbali tulio nao maana hakuna jinsi tunavyoeza kukutana kwa sasa.

Moyo huwa unaenda mbio pale napomtext alaf akachelewa kujibu, pia huwa naumia sana pale anaponambia umeme umekatika simu imeisha chaji hatokuwa hewani ukiachilia mbali vitu vingine kibao vidogo vidogo.

Huwa nikikumbuka niliyofanya nae chuo nahisi anaeza kufanya na mtu mwingine hasa nikikumbuka jinsi nilivomwingilia kirahisi na akamwacha mshikaji wake kiurahisi na nikawa nagegeda nitakavyo.
 
Kahamia kutoka mkoani au wewe kwa sasa umehamia mkoani na mnaishi mtaa mmoja?

18 Machi 2014
https://www.jamiiforums.com/mahusia...sikitisha-sana-naona-mwisho-wetu-umefika.html

Ni zaidi ya wiki moja tangu nilipokuta mpenzi wangu ameandikiwa meseji ya kimapenzi fb na mtu aliedai ni binam yake na dada ake akanitext kunieleza kuwa yule kweli ni binam yao.
Kinachonifanya nisiamini ni pale napomwambia amjibu ile meseji na anakataa. Kwa ufupi tuko mbali (mikoa tofauti) na siku kadhaa zimepita tangu tumekaushiana hatuwasiliani wala haombi msamaha.
 
Siku nyingine jaribu kutumia mbinu uliyokuwa unatumia kwa huyu...teh teh teh!!!

19 Mei 2014

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/660729-hatimaye-leo-naenda-kwa-baby-wangu.html

yenyewe said:
Nina mpenzi wangu wa kike ambaye sijaonana nae yapata miezi sita sasa.

Hii leo nakutana naye baada ya kuwa mvumilivu kwa kipindi kirefu.

Sasa wadau nisaidieni, ule mzigo nitajuaje kama ulikuwa haufunuliwi na wajanja wa mjini?

Kwa upande wangu condition niliyompa ni kutokuwa ananyoa ile mambo mara kwa mara, na huwa nataka akae akinitumia picha ili nione kitu kipo katika hali gani.
 
yenyewe njoo jisafishe lasivyo tunagoma kurudi bungeni!!!!
 
Last edited by a moderator:
Yaani huku ni kunyong'onyezana jamani mweeeeeeeh teh teh

Pitia na hapa pia

14 Februari 2014

https://www.jamiiforums.com/mahusia...1-namkuna-ipasavyo-lakini-ajawahi-kufika.html

Nina mpenzi wangu yapata mwaka mmoja sasa.

Nampenda sana hasa anavyojituma kitandani. Binafsi nimekuwa nikimpa dozi ya maana maana mi nina uwezo wa kupiga mechi usiku kucha. Ila maranyingi tukishapiga kama mara tatu hivi huwa anasema kachoka hivyo tunatulia kwa muda.

Tatizo ni kwamba licha ya yote haya mpenzi wangu ajawahi kufika kileleni hata siku moja.
 
Usikurupuke wala usipuuze ulichoambiwa. Chunguza ndipo uchukue hatua
 
sawa. sasa sijui uchunguzi naufanya kwa njia gan.

Mkuu.. Mapenzi ni kitu cha ajabu kidogo.. Unapompenda mwenzi wako inabeba na uaminifu.. Maana yake unampenda na kumuamini.. Unaposikia tuhuma dhidi ya mwenza wako unatakiwa umuulize.. Kawaida unatakiwa umuamini kile anachokuambia na hapo ni iwapo tu hajawahi kukupa sababu ya kutomuamini huko nyuma.. Ikitokea shutuma zinaendelea na zinatoka pande zaidi ya moja basi hapo kuna tatizo.. Au kwa mwenza wako au kwa jamii inayokuzunguka.. Hapo inabidi ufanye uchunguzi kabla ya kuchukua hatua yeyote.. Kumbuka kuna mambo ya kuoneana kijicho.. kukomoana na mengine mengi ambayo yanaweza kutumika kwenye kutengenezeana tuhuma.. Ila kwa sasa kama hajawahi kukupa sababu ya kutomuamini ni vzuri ukamuuliza na uka-stick nae kwenye huo ukweli atakaokuambia..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom