PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,995
- 2,017
Dah!Natumain mmeamka vyema ndugu zangu. Pia wale ambao hawajaamka salama tuwaombee.
Mwenzenu yamenikuta. Asubuhi hii nimepata taarifa kuwa mchumba wangu ninaempenda na kumthamin sana anatoka na mwanajeshi pia na jamaa mwingine hapa mtaani.
Habari hizi zimenistua sana na alienambia ni binam yangu.
Niko njia panda sijui nichukue hatua gan. Naombeni mchango wa mawazo yenu ni lipi nifanye kwa sasa.
Asanteni.
Mkuu pole...Kama mjeda mwachie tu ajigongee vyombo. Asije akakufanya vibaya na bado vyombo kagonga
Jua tu utampata mwingine mzuri na atakayekupa raha zaidi ya huyo(Hii waulize waliowahi kuachwa watakupa uhakika 100%, even me)