Namkuna ipasavyo lakini ajawahi kufika

Namkuna ipasavyo lakini ajawahi kufika

yenyewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
621
Reaction score
94
Hbr wapendwa?

Nina mpenzi wangu yapata mwaka mmoja sasa.

Nampenda sana hasa anavyojituma kitandani. Binafsi nimekuwa nikimpa dozi ya maana maana mi nina uwezo wa kupiga mechi usiku kucha. Ila maranyingi tukishapiga kama mara tatu hivi huwa anasema kachoka hivyo tunatulia kwa muda.

Tatizo ni kwamba licha ya yote haya mpenzi wangu ajawahi kufika kileleni hata siku moja.

Huwa naongea nae na maranyingi anaonesha kushangaa maana ajui kama mwanamke anaeza kufika kileleni.

Ila anadai huwa anaenjoy sana tukigegedana, ananipa kila sifa na huwa naona kweli anaenjoy kupitia jinsi anavyojituma.

Simlaumu mpenzi wangu na wala sina mashaka nae maana tunapendana upendo wa kweli.

Ila naomba mchango wenu wadau au mwanamke anaweza kuenjoy bila kufika kileleni? Mkinishuri nifanyeje pia nitashukuru sana ndugu zangu.
 
hebu nipe namba yake ya simu nimuulize juu ya ukweli wa hili jambo
 
Cha kwanza lazma niwahoji wote ili niweze kujua jinsi ya kuwasaidia,nitumie namba za huyo mwenzi wako plz
 
Hbr wapendwa?
Nina mpnz wng yapata mwaka mmoja sasa. Nampenda sana hasa anavyojituma kitandan. Binafs nimekuwa nikimpa dozi ya maana maana mi nina uwezo wa kupiga mech usiku kucha. Ila maranying tukishapiga km mara tatu hv huwa anasema kachoka hvyo tunatulia kwa muda.
Tatzo ni kwamba licha ya yote haya mpenz wng ajawah kufika kilelen ata siku moja. Huwa naongea nae na maranyingi anaonesha kushangaa maana ajui kama mwanamke anaeza kufika kilelen. Ila anadai huwa anaenjoy sana tukigegedana, ananipa kila sifa na huwa naona kweli anaenjoy kupitia jins anavyojituma.
Simlaum mpnz wng na wala sina mashaka nae maana tunapendana upendo wa kweli. Ila naomba mchango wenu wadau au mwanamke anaweza kuenjoy bila kufika kileleni? Mkinishuri nifanyeje pia nitashukuru sana ndugu zangu.

Wewe lazima akushangae kwa sababu unamwambia vitu ambavyo hakuelewi. Kikubwa kinachoangaliwa ni mwenzako kufurahia lile tendo. sasa wewe hayo mambo ya kilele ulijifunzia wapi? Epuka michepuo na utulizane. Sasa wewe umeshindwa kumfikisha kwenye kilele ipo siku atatafuta shamba boy ampeleke.
 
Kwenye swala la mapenzi nakushauri kutumia nafsi ya kwanza umoja' kwamfano badala yakusema tunapendana sana' sema nampenda sana nadhani nae ananipenda! Usijiweke nafsini kwa mwanamke na kujipa 100% kwamba anakupenda! Moyo wa mtu kiza kinene kaka!

Pili unawezaje kusema kwakujiamini kwamba unamkuna vilivyo wakati hajawahi kufikishwa kunako? Kipimo chako chakujua unamkuna vizuri ninin?

Mwisho lazima ufaham kuna wanawake hisia zao zipo mbali saana hivyo unahitaji kazi ya ziada kumuandaa kabla tendo lenyewe. Vinginevyo kama unakimbia kimbia nakukojoa kojoa haraka huji kumfikisha kamwe! Huyo akionja nje maramoja akawatreated vema paka akafikishwa kunako' utakuja na hadithi nyingine hapa.

Kila lakheri!
 
"kileleni" "kileleni" no am just thinking
 
Wewe lazima akushangae kwa sababu unamwambia vitu ambavyo hakuelewi. Kikubwa kinachoangaliwa ni mwenzako kufurahia lile tendo. sasa wewe hayo mambo ya kilele ulijifunzia wapi? Epuka michepuo na utulizane. Sasa wewe umeshindwa kumfikisha kwenye kilele ipo siku atatafuta shamba boy ampeleke.
ahahahaha.....
 
akama anasema ANALIFURAHIA TENDO bas yotoshaaaaa we fanya shughuli zingine za kiuchumi huku umerelax mkuu
 
Sasa kama karidhika na kufurahi unataka nini zaidi?
 
Kama kweli ukimkuna ipasavyo lazima atafika tu na wewe utaona kwani hawajifichi. Ukiona hajui kama amefika au la jua hujamkuna ipasavyo.
 
Teh teh teh go nigga go nigga goooo
We msaidie mwenzio bana... niga niga ndo nini bana..?? Mwambie aombe kujiunga kuleeeeeeeee tukampe makavu laivu.... si unajuwa tukiwaga pande zetu jinsi ambavyo breki tunaziacha nyumbani tena kwenye friji zikiwa zinapowa..tehe tehe etehe
 
how could u proof kwamba unamkuna na yeye anakunika,ebu lete umri na picha hapa! maana hata kumsugua usiku kucha is a nutty
 
labda umemkuna kisawasawa kichwani kwenye mba km anao! kaka, kumfkisha mwanamke kileleni sio kukeshea juu ya kiuno chake, ni techniques tu za jinsi ya kumtoa nyoka pangoni. mwandikie huyu jamaa email, atakutumia tips kibao za jinsi ya kumshusha 'kojo' dem wako! jason@orgasmarts.com
 
Kwenye swala la mapenzi nakushauri kutumia nafsi ya kwanza umoja' kwamfano badala yakusema tunapendana sana' sema nampenda sana nadhani nae ananipenda! Usijiweke nafsini kwa mwanamke na kujipa 100% kwamba anakupenda! Moyo wa mtu kiza kinene kaka!

Pili unawezaje kusema kwakujiamini kwamba unamkuna vilivyo wakati hajawahi kufikishwa kunako? Kipimo chako chakujua unamkuna vizuri ninin?

Mwisho lazima ufaham kuna wanawake hisia zao zipo mbali saana hivyo unahitaji kazi ya ziada kumuandaa kabla tendo lenyewe. Vinginevyo kama unakimbia kimbia nakukojoa kojoa haraka huji kumfikisha kamwe! Huyo akionja nje maramoja akawatreated vema paka akafikishwa kunako' utakuja na hadithi nyingine hapa.

Kila lakheri!

Maswali ya msingi haya ayajibu kwa ufasaha...mimi naona hata hampendi angempenda angemuoa kabisa lakini akiambiwa nioe ana ruka mita mia, huwezi sema unampa kile roho inapenda asifike kileleni,anakufariji tu...zinaa itakuangamiza hebu muache binti wa watu atulie labda atapata wa kumuoa anayefanana naye afike na kileleni,wewe unamharibia future tu.
 
Acha upimbirisimu wewe,kama ulikuwa unamkuna ipasavyo si angefika kileleni,nahisi una kabamia cha inchi 2.Please nipe namba yake halafu baada ya week moja tuonane mimi,wewe na yeye.
 
kwenye swala la mapenzi nakushauri kutumia nafsi ya kwanza umoja' kwamfano badala yakusema tunapendana sana' sema nampenda sana nadhani nae ananipenda! Usijiweke nafsini kwa mwanamke na kujipa 100% kwamba anakupenda! Moyo wa mtu kiza kinene kaka!

Pili unawezaje kusema kwakujiamini kwamba unamkuna vilivyo wakati hajawahi kufikishwa kunako? Kipimo chako chakujua unamkuna vizuri ninin?

Mwisho lazima ufaham kuna wanawake hisia zao zipo mbali saana hivyo unahitaji kazi ya ziada kumuandaa kabla tendo lenyewe. Vinginevyo kama unakimbia kimbia nakukojoa kojoa haraka huji kumfikisha kamwe! Huyo akionja nje maramoja akawatreated vema paka akafikishwa kunako' utakuja na hadithi nyingine hapa.

Kila lakheri!

dah!! 100 100 nakukubali sn upo makini
 
Kazi kweli, wadada wanataka kudikishwa eldoret...
wallah usipomfikisha, hata kama unapiga gem 24/7, lazima atatoka tu, lazima akajaribu kwingine kuona kama yupo anayeweza kumfikisha eldoret...

Hii dhana ya kufikishana kileleni inaharibu Sana mahusiano siku hizi, at least hao wazee wetu hawakujua mambo ya vilele...ndoa na mahusiano yalisumu, sasa hivi unatakiwa kunywa supu ya pweza kama unaona huwezi kupiga sebene ipasavyo.
SCARY•••••••
 
Back
Top Bottom