Piteni hapa tufurahi

Piteni hapa tufurahi

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,118
Reaction score
72,600
Hayaa sasa kwa mara nyingine tena (kwa sauti ya DJ mafi)
Hadithi hadithiiiiiiiii uongo njoo utamu koleaaaaaaa, watu waburudike kidogo maana ishakua timu timu,timu zote turefresh mind hapa sio kuchukiana tu sawaaa people (in masanja's voice?
 

Attachments

  • IMG-20150619-WA0008.jpg
    IMG-20150619-WA0008.jpg
    12.3 KB · Views: 641
Sijui umekula maharage ya wapi, nilikua nakuheshimu sikuheshimu tenaaaaaa wi wi wiiiii (in gwajima's voice)
 
yooo pop it in!, halafu nyie ndo mnasemaga kuwa mambo ya team yanaua vipaji sasa mbona unapromote tena shem
 
Tunaendeleaaaaa
 

Attachments

  • IMG-20150619-WA0009.jpg
    IMG-20150619-WA0009.jpg
    12.5 KB · Views: 431
Hauzioni picha mkuu......

Ni hadithi ya picha ndio imeanza lakini.... Kama huoni nitakuandikia manenoo

Eti ni kweli kama unapigwa na Wazee matokeo ya Uji wa Mtama ni haya ?
 

Attachments

  • 1434831393008.jpg
    1434831393008.jpg
    41.8 KB · Views: 330
Sijui nimejikutaje nikaingia kwenye matimu haya...!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom