Pita hapa umshukuru Baba Mungu!

Pita hapa umshukuru Baba Mungu!

Huyo Dogo hadhuriki kwa Kunywa Maji hayo.

Hapo ndio utashangaa.

Ni sawa na Chokoraa kula Vyakula vya jalalani na wala hadhuriki.

Sasa jaribu wewe kula Vyakula vya jalalani halafu uone kitakachofuata
 
Oraa Bablai kwani huwezi comment bila kuisema vibaya Chuga asee??Mtazidi kutusema tu Machalii wa R tunajiskia..Uku ndo mauchokozini Ariff.Take care and mind ur own biznenga,Chuga ivungie tu pita ivi.acha usoro.
Acha unduku wewe nani kaitaja hiyo chuga sijui chura?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom