Pita hapa umshukuru Baba Mungu!

Pita hapa umshukuru Baba Mungu!

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,440
Reaction score
38,437
Pita hapa umshukuru Baba Mungu kwa upendeleo alokupa!
IMG_20190908_200807_706.jpeg
 
KWA CHOCHOTE NILICHONACHO NA AMBACHO SINA NASEMA ASANTE MUNGU, WEWE NI MWEMA
 
Ndio maana watu wa Babati na ule mkoa wa watu wasiopend kukosolewa wana meno ya rangirangi A.K.A kutu
 
Mungu ana upendeleo sana tuwe wakweli tu, yeye mwenyewe anatuambia kila siku tuwe wakweli daima, sasa mbona anakuwa na upendeleo
 
Unavyosema kuhusu meno yetu unamaanisha kuwa ndio tunakunywa hayo maji?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe ndo hivo mkuu! Ndo maana nilitanguliza kusema "watu wa mkoa wasiopenda kukosolewa" wenyewe wanaita Geneva
 
sometimes watu wa fb siwaeliwi,
sasa hapo unamshukuru Mungu kwa sababu una unafuu kuliko huyo,unafananisha Maisha yako na huyo mtoto unajiona bora
instead of say thank GOD it`s time to take action by helping those people in need
 
Ndio maana watu wa Babati na ule mkoa wa watu wasiopend kukosolewa wana meno ya rangirangi A.K.A kutu
Oraa Bablai kwani huwezi comment bila kuisema vibaya Chuga asee??Mtazidi kutusema tu Machalii wa R tunajiskia..Uku ndo mauchokozini Ariff.Take care and mind ur own biznenga,Chuga ivungie tu pita ivi.acha usoro.
 
Ila sema kwa wale tuliochunga ng'ombe hii ilikuwa kawaida kabisa hapo unapuliza kidogo kisha unakunywa huku unajiona ukimaliza unaloweka shati ili kupunguza joto
Unaelekea ulipoweka ulimbo wako unachukua ndege kadhaa unawanyonyoa kisha unawasha kamoto flani unapata cha mchana baadae kabisa unawapitisha ng'ombe lamboni unaanza kusogelea nyumbani ni aina flani hivi ya maisha tafu ila Mungu anakulinda
 
Unaonekana umeandika from experience
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom