Pita hapa labda itakuwa msaada kwako

Pita hapa labda itakuwa msaada kwako

Vijana,kijijn kuna utajiri ila watu wanaoishi kule wamekosa elimu na hawana malengo thabiti.. lakn wew msomi mwenye upeo mpana ukiamua kwenda kuchuma kijijn ni rahisi sana.. wafanyakazi kijijn wapo tena wa bei nafuu..,
 
kuna fursa huku kijijin ya kufungua kibanda cha kuchaji simu kwa sola, kama una mtaji wa laki 5 na kuendele unaweza kumudu, kila siku unapata elf 2o hadi 30.., mim nina mpango huo ila sio mwaka huu wew km utaweza karibu mi nitafanya kitu kingine. unaweza kufanya mwenyewe au km utataka mtu akufanyie utampata, ni wilaya ya mkuranga., sio mbali sana kutoka dar,unaweza kuja kutoka dar na kurudi. KARIBU
 
Ajira hamna,tukio lililofanyika taifa limenisikitisha sana. Mimi ni mmoja kati ya vijana ambao hawana ajira, nimeshaomba mpaka ajira ya kuuza biashara za mtu nikakosa. Nilichoamua ni kurudi kijijin ambako ndio kwetu,mfukoni nilikuwa na tsh.130,000, of coz nilishindana na vingi,aibu + kujisikia vibaya lakin nikakaza moyo.. nilipofika kijijin nikaomba eneo nikapata bure,nikajenga banda la kuku,nikanunua kuku 20 tetea 17 jogoo 3,nikapata chanjo ya magonjwa ya kuku nikawapa, nikawaacha chini ya uangalizi wa anko wangu kule.. kuku wakaanza kutaga na nikapata vifaranga kama 169 hivi, bado ajira sikufanikisha nikarudi kijijn kuwahudumia kuku wangu hatimaye kuku wakawa wakubwa, kwa mara moja nikauza kuku 100 nikapata kama tsh.1.3 milion hivi, na mtaji wa kuku kama 70 hv baada ya wengine kufa.. Mpaka sasa kuku wanataga tena na nategemea kupata vifaranga zaid ya 200,. nimefungua duka la nafaka, na nataka nifungue salun ya kiume huku kuku wanaendelea.. JARIBU NAWEWE, 'fikra za kuajiriwa tufute,tutapata presha bure'
Hongera na ahsante ndugu kwa maelezo ulotoa. Ila nikuhakikishie ufugaji wa kuku hauko rahisi kama maelezo yako ulivyotoa. Hukutuambia chakula cha kuku ulitumia sh ngapi. Na kwa kuku hawa wa kienyeji nijuavyo mimi huchukua miezi takribani saba mpaka wawe tayari kuuzwa. muda wote hhuo uliwahudumia kwa kiasi gani cha fedha mpaka wakakua. wana magonjwa yao hawa.wakianza kuugua waweza changanyikiwa wanavyokufa.
Mh haya kila la kheri mdau.
 
Ajira hamna,tukio lililofanyika taifa limenisikitisha sana. Mimi ni mmoja kati ya vijana ambao hawana ajira, nimeshaomba mpaka ajira ya kuuza biashara za mtu nikakosa. Nilichoamua ni kurudi kijijin ambako ndio kwetu,mfukoni nilikuwa na tsh.130,000, of coz nilishindana na vingi,aibu + kujisikia vibaya lakin nikakaza moyo.. nilipofika kijijin nikaomba eneo nikapata bure,nikajenga banda la kuku,nikanunua kuku 20 tetea 17 jogoo 3,nikapata chanjo ya magonjwa ya kuku nikawapa, nikawaacha chini ya uangalizi wa anko wangu kule.. kuku wakaanza kutaga na nikapata vifaranga kama 169 hivi, bado ajira sikufanikisha nikarudi kijijn kuwahudumia kuku wangu hatimaye kuku wakawa wakubwa, kwa mara moja nikauza kuku 100 nikapata kama tsh.1.3 milion hivi, na mtaji wa kuku kama 70 hv baada ya wengine kufa.. Mpaka sasa kuku wanataga tena na nategemea kupata vifaranga zaid ya 200,. nimefungua duka la nafaka, na nataka nifungue salun ya kiume huku kuku wanaendelea.. JARIBU NAWEWE, 'fikra za kuajiriwa tufute,tutapata presha bure'

Hongera
 
Hongera mkuu...ila sisi wengine vijiji vyetu ni balaa. Utafuga hao kuku sawa ila kuwauza sasa gharama ya kufika barabarani utajikuta faida yote kwisha na robo ya mtaji imefyekwa
mkuu kani lazima uende kijijini kwako kabisa? badili wazo best, mi nimepanga kuandaa kilimo cha umwagiliaji kwa ndugu zangu wasukuma, huko si kwetu kabisa. ila najua tutafika tu... kama ndugu yetu kaanza na 130k, basi kajitahidi kweli..

Mimi nimeandaa milioni moja na nusu na nimeshapitia maduka mbalimbali hapa kariakoo wamenipa mchanganuo mzima wa mashine bora za umwagiliaji, hivyo nazidi kujivuta mwenyewe mpaka niamke kivyangu vyangu...

Mkuu wala usikate tamaa kihivyo.
 
Hilo nalo neno mkuu....nikipata fursa kijiji kingine sawa lkn kule kwetu hapana....ntaenda nikiona mwanga wa maisha....na giza hili hapana kwa kweli

Hata huo umbali ni fursa vilevile bila shaka hata ukifungua duka la rejareja tu utapata hela zaidi ya huyu anaefugwa na kuku
 
mkuu kani lazima uende kijijini kwako kabisa? badili wazo best, mi nimepanga kuandaa kilimo cha umwagiliaji kwa ndugu zangu wasukuma, huko si kwetu kabisa. ila najua tutafika tu... kama ndugu yetu kaanza na 130k, basi kajitahidi kweli..

Mimi nimeandaa milioni moja na nusu na nimeshapitia maduka mbalimbali hapa kariakoo wamenipa mchanganuo mzima wa mashine bora za umwagiliaji, hivyo nazidi kujivuta mwenyewe mpaka niamke kivyangu vyangu...

Mkuu wala usikate tamaa kihivyo.

Asante mkuu wazo lako ni zuri na nakuombea ufanikiwe uniajiri na mimi nipate hiyo m1.5 nifungue mashamba yangu......
 
Hata huo umbali ni fursa vilevile bila shaka hata ukifungua duka la rejareja tu utapata hela zaidi ya huyu anaefugwa na kuku

Hahahaha....mkuu ntaenda kijiji chochote sio kule....kama nlivyosema mwanzo kule nawekeza miradi ya muda mrefu km kupanda miti n.k kwanza hakuna watu....mchele debe moja unasafirisha kwa elfu nne sijui utauza sh ngapi na utapata faida sh ngapi...
 
Ajira hamna,tukio lililofanyika taifa limenisikitisha sana. Mimi ni mmoja kati ya vijana ambao hawana ajira, nimeshaomba mpaka ajira ya kuuza biashara za mtu nikakosa. Nilichoamua ni kurudi kijijin ambako ndio kwetu,mfukoni nilikuwa na tsh.130,000, of coz nilishindana na vingi,aibu + kujisikia vibaya lakin nikakaza moyo.. nilipofika kijijin nikaomba eneo nikapata bure,nikajenga banda la kuku,nikanunua kuku 20 tetea 17 jogoo 3,nikapata chanjo ya magonjwa ya kuku nikawapa, nikawaacha chini ya uangalizi wa anko wangu kule.. kuku wakaanza kutaga na nikapata vifaranga kama 169 hivi, bado ajira sikufanikisha nikarudi kijijn kuwahudumia kuku wangu hatimaye kuku wakawa wakubwa, kwa mara moja nikauza kuku 100 nikapata kama tsh.1.3 milion hivi, na mtaji wa kuku kama 70 hv baada ya wengine kufa.. Mpaka sasa kuku wanataga tena na nategemea kupata vifaranga zaid ya 200,. nimefungua duka la nafaka, na nataka nifungue salun ya kiume huku kuku wanaendelea.. JARIBU NAWEWE, 'fikra za kuajiriwa tufute,tutapata presha bure'

Big Mind
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom