donaldson don
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 624
- 416
Duuuh aiseee.... naomba tuwasiliane mkuu maana mimi mwenyewe naitaka sana iyo biashara niko darNilifuata mzigo kidogo wa kabla ya Xmass,kwa hali niliyoikuta Mtukula hasa TRA..............!!!!!! lkn kwa sasa niko SA North Province
Mkuu hiyo isikupe tabu, tafuta parking ya basi la Friends ama Taqwa ya Kampala. makondakta watakupa details zote,mie niko mbali kidogo kwa hizi siku brotherDuuuh aiseee.... naomba tuwasiliane mkuu maana mimi mwenyewe naitaka sana iyo biashara niko dar
Aaah kama vile nakuona..poa bhanaHahahaaaa!!! sehemu hiyo hapo chini ndipo nilianza kujifunzia kula mirungi, Mkenya mmoja alinipatia na big G
Wadau ebu fungukeni basi kama kutoa mzigo Kampala mfano nguo na viatu kama inalipa mimi nifanye mambo wakuuMkuu hiyo isikupe tabu, tafuta parking ya basi la Friends ama Taqwa ya Kampala. makondakta watakupa details zote,mie niko mbali kidogo kwa hizi siku brother
Inalipa ndugu piga kaziWadau ebu fungukeni basi kama kutoa mzigo Kampala mfano nguo na viatu kama inalipa mimi nifanye mambo wakuu
Nguo na viatu nikitoa Kampala kuleta DSM naweza kupasua mkuuInalipa ndugu piga kazi
Mkuu, kwa mm ambae ni mhitimu wa chuo na muhanga wa ajira inanipasa niwe na mtaji wa sh ngapi niweze kuanza biashara hiyo kwani biashara ipo damuni.Ni mwenyeji sana huko hasa katika biashara hiyo kabla sijazamia mtoni. Nilikuwa nalala Bukoba mjini, then asubuhi naondoka na Bus la Friends, saa 7 mchana tuko Kampala na brocken english yangu, muda huo unafanya window shopping harafu asubuhi unaaza kununua au mchana huo. Ukiwahi kesho unaondoka na Friends ya saa sita mchana unalala tena Bukoba then asubuhi tu saa tano uko Geita. Nilikuwa nalala Samarini kama unapafahamu. Biashara ya nguo haina stress kama vipodozi ambavyo TFDA wamekuwa na bifu navyo.
Mkuu biashara ya samaki/nguo au vipodozi?Mkuu, kwa mm ambae ni mhitimu wa chuo na muhanga wa ajira inanipasa niwe na mtaji wa sh ngapi niweze kuanza biashara hiyo kwani biashara ipo damuni.
Ivi wao mizigo wanaagiza toka wapi? Dubai au China au Europe na AmericaSijawahi kuuliza mkuu japo huwa naona kwenye mastoo zimejaa tele. Huchagua tu original piece by piece
Samaki mkuu, nataka kufanya kitu cha utofauti kidogoMkuu biashara ya samaki/nguo au vipodozi?
Mkuu fungukaSamaki mkuu, nataka kufanya kitu cha utofauti kidogo
Ntafungukaje zaidi ya hapo wakati hata mm nataka wadau wanielekeze maa a nilisikia juu juu tuMkuu funguka
Samaki mkuu, nataka kufanya kitu cha utofauti kidogo
Samaki kaka sikushauri hata kidogo maana Waganda wanapata samaki wengi kupitia ufugaji (samaki aina ya sato au tilapia Uganda unapata kwa bei cheap harafu samaki wa ukweli. Nasema haya kwa kujiamini maana naona wanavyouzwa kwa wingi na bei ya chini hata ukiwa kwenye hotel kubwa Kampala, samaki mzima na aliyetulia utampata kwa sh, 5000/= akiwa tayari ameandaliwa.Ntafungukaje zaidi ya hapo wakati hata mm nataka wadau wanielekeze maa a nilisikia juu juu tu