Pisi kali ofisini kwa mshua wamenivuruga sana akili

Wazee wa kazi hii noma aseee juzi kati hapa nimeenda ofisini kwa mshua nmekuta kuna pisi kama mbili kali sana ziko asee yaan nnavyosema ni pisi ni pisi kweli watoto wazuri kishenzi, mmoja chocolate colour na mwingine white af pisi zote zipo kitengo kimoja, wale watoto wamenivuruga sana akili.
Acha utoto,mwisho utaingia kwenye 18 za mshua😂😂😂
 
Wazee wa kazi hii noma aseee juzi kati hapa nimeenda ofisini kwa mshua nmekuta kuna pisi kama mbili kali sana ziko asee yaan nnavyosema ni pisi ni pisi kweli watoto wazuri kishenzi, mmoja chocolate colour na mwingine white af pisi zote zipo kitengo kimoja, wale watoto wamenivuruga sana akili.
picha?
 
Kijana Kuanzia hapa,unapaswa kua makini wakati wa kufungua uzi mpya au kuchangia kwenye nyuzi za wenzio,ili isije siku ukajichanganya, wakurungwa tukaijua kazi ya ukweli ya babaako
 
Back
Top Bottom