Pisi ikikuangalia sana (eye contacts ) ni dalili ya nini..??

Meshacky Allyson

Senior Member
Oct 29, 2020
126
250
Habari wana JF , Nimejaribu kupotia nakala na majarida mbalimbali yanayozungumza juu ya swala hili ,nimepata data chache kdg ,Nimeona nirudi kwenu niulize hili ,Yaan kuna pisi everyday nikikutana nazo huwa zinanipa eye contacts sanaa , Sasa huwa nashindwa kutafsiri vzr juu ya hii kitu ,...!!
Naomba kuwasilisha huu uzi kwenu , Ili wenye experience, watoe maoni tupate kujifunza...
Uzi Huoooooooo...
 
Zinakutengenezea mazingira ujilengeshe zikupige hela.
 
mkuu kama.unamhitaji/ unawahitaji kimapenzi ukiona anakuangalia inuka mfate mwambie naona unaniangalia sana......yeye mwenyewe ataanza jitetea sikuangalii unafuata owky naitwa fulani sijui unaitwa nani? From there utajua uendaje.....kwenye kuomba namba mwambie kwakuwa unaniangalia sana nipe namba yako nikutumie picha zangu unione vizuri.....

jiamini, ongea kwa kujiamini. Ukionesha kujiamini hata yeye atavutika kidogo kuwa huru kwako.
 
Habari wana JF , Nimejaribu kupotia nakala na majarida mbalimbali yanayozungumza juu ya swala hili ,nimepata data chache kdg ,Nimeona nirudi kwenu niulize hili ,Yaan kuna pisi everyday nikikutana nazo huwa zinanipa eye contacts sanaa , Sasa huwa nashindwa kutafsiri vzr juu ya hii kitu ,...!!
Naomba kuwasilisha huu uzi kwenu , Ili wenye experience, watoe maoni tupate kujifunza...
Uzi Huoooooooo...
Anapiga hesabu kali, akupeleke wapi, hela huna na pia ukiangalia kwenye suruali yako haoni muhogo, anatoa macho zaidi anao na kitu Kama kipilipili kichàa hiviii🌶️😂
 
mkuu kama.unamhitaji/ unawahitaji kimapenzi ukiona anakuangalia inuka mfate mwambie naona unaniangalia sana......yeye mwenyewe ataanza jitetea sikuangalii unafuata owky naitwa fulani sijui unaitwa nani? From there utajua uendaje.....kwenye kuomba namba mwambie kwakuwa unaniangalia sana nipe namba yako nikutumie picha zangu unione vizuri.....

jiamini, ongea kwa kujiamini. Ukionesha kujiamini hata yeye atavutika kidogo kuwa huru kwako.
Kaka asanteeee , Nimekuelewa Tanayzer
 
Yaani wewe ushapewa code unatembea unaona umevalia vzr kumbe unatembeea uchi kabisa

Sasa pamoja na uchi wako wakiangalia katkati wanaona kipisi hasa yani kama nukta tu ndo wanaanza kuangalia mwili ulivyo umbika huku kutembea uchi na kinukta daaah
 
Back
Top Bottom