Ekotitee!Kanga fotooo!Bwana mkubwa haamini kama hakupata usingizi.
The industry!
Huwa wanajiorodhesha kwa kuachia ballistics zao utawaona tu😆Wataje tuwajue, usinitaje mimi lakini. 😊
Uko sahihi, lakini pale kwenye kujifanya nna maisha ya juu wakati huku nje nasota, kwakweli najitahidi🙆🏽♀️Nakataa, we ni mtu poa sana huna shida.
Kwanza muda wote mnaona wengine ndio wana shida hiyo na mpaka mnawaambia bila aibu, kumbe tatizo kubwa unalo mwenyewe mpaka watu wanajiuliza wakusaidiaje uwe normal 😆Na ukituona huwezi kudhania 😁
La walokole hahahWrite your reply... MIMI NA SERAN TUPO KUNDI GANI HAPO MKUU
Kaacha makundi mengi sana 😁😁Sie tupo kundi la makapuku , pangu pakavu
Mshana hajali-address😄😄