Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,861
- 43,776
Mbona km kundi umeliacha la matapeli, wahuni, washenzi...au linaingia wapi hapo
🤣🤣
🤣🤣
Ooh saw a sawa nikadhani ni akina tony kapola gas stationHahahahaaa mkuu namaanisha watumishi wa MUNGU
Just to mention a fewJE makamaria na forex?
Na Watumishi wa mungu tulioko huku?
Wako pia makachero wa kutosha?
Matapeli nao wamo?
Walia njaa wapo
Wanaotetea na kusambaza ushoga ni wengi
Wapinga kristo wapo, wanaosema Hakuna mungu pia wapo
Chawa wa wanasiasa?
Wakulima na wafugaji je?
Aki unapoteswa kijana nakuhurumiaaa🫢Ndio yeye tena
Huyu kiumbe atakukoma this time round😎Mbona km kundi umeliacha la matapeli, wahuni, washenzi...au linaingia wapi hapo
🤣🤣
Sir God anisamehe hivi ndio vitu Vyangu mengine ni vile Simba akikosa nyama😀😀
90% wana hii shida
Hilo la sista duu linanihusu 😎
Mbona km kundi umeliacha la matapeli, wahuni, washenzi...au linaingia wapi hapo
🤣🤣