Pipo za JF

Pipo za JF

6773a6cf-9feb-4ef9-a067-f0f6a878f547.jpeg
 
Kundi la nne ni Wazee wa Kutupia "Madongo" na Kauli Matata ambao kazi yao kubwa ni kujibu nyuzi za wenzao kwa kutumia vijembe, dhihaka za kirafiki, au maneno yanayoweza kukukosesha usingizi usipokuwa na moyo wa chuma. Wana sifa ya kuwa na maneno yenye shombo lakini ya kuchekesha, na ukijichanganya kuleta mada isiyo na mashiko, wanakushushia kauli moja matata inayokata stimu na kukufanya ujutie kuanzisha uzi huo.
Na hawa ni The Icebreaker ephen_ Lamomy mshamba_hachekwi

Hawa wote wanamaisha magumu huko walioko hawana amani, kutwa wamegubikwa na nongwa tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom