Pipo za JF

Pipo za JF

Kipindi hiko hakuna Tuma nayakutolea,, Wala kula nauli. wajukuu zangu saiv mnapitia mahusiano magumu mno. 🤣😂😂
1789023040384.jpg
 
Kujivua kivipi? Kwani we unaujua umri wangu au unanijaji kupitia maandishi kama kawaida ya members wa jf? Unajua gen z wanapatikana vipi?
Naendelea kubofya kale kabatan, najua hili neno linakupa ukakasi sana. Kuna uzi wa lamomy, naomba ukafanyie kazi ombi langu🤪🤪
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom