Pipo za JF

Pipo za JF

tusisahau kuwa kuna kundi la wagonjwa wa akili
f34bef24-c224-4563-9dde-f33c7bfd0abb.jpeg
 
JE makamaria na forex?
Na Watumishi wa mungu tulioko huku?
Wako pia makachero wa kutosha?
Matapeli nao wamo?
Walia njaa wapo
Wanaotetea na kusambaza ushoga ni wengi
Wapinga kristo wapo, wanaosema Hakuna mungu pia wapo
Chawa wa wanasiasa?
Wakulima na wafugaji je?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom