Pingu za maisha

Junior. Cux

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
5,319
3,767
Nategemea kufunga pingu za maisha na mwanadada mrembo wa humu ndani, kama familia moja ni vema mkaonyesha support yenu hasa katika michango ya harusi hii.. jina la bibi harusi ntalitaja hapo baadae kutokana na sababu za kiusalama na michango yote inaweza nifikia kwa mpesa kwnye namba zilizopo kwnye profile yangu...
Wenu katika mmu,
bwana harusi mtalajiwa
 
nimeshakutumia 15mil na ukihitaji pesa ya hanimuni usisite we nitaarifu..
 
Mmmh, nilijiunga jf baada ya kukimbia michango uraiani
Na huku ikianza sijui ntaenda wapi mie.
 
Mmmh, nilijiunga jf baada ya kukimbia michango uraiani
Na huku ikianza sijui ntaenda wapi mie.

Hahaha,usifanye hivo bana.
Me namjua jamaa kama anatani nita waambia,....
Trust me,hamta ibiwa.
 
Nategemea kufunga pingu za maisha na mwanadada mrembo wa humu ndani, kama familia moja ni vema mkaonyesha support yenu hasa katika michango ya harusi hii.. jina la bibi harusi ntalitaja hapo baadae kutokana na sababu za kiusalama na michango yote inaweza nifikia kwa mpesa kwnye namba zilizopo kwnye profile yangu...
Wenu katika mmu,
bwana harusi mtalajiwa

Kulikuwa na uharaka gani wa kutangaza wkt ukihofia usalama wako?
 
Back
Top Bottom