Pindi la week: Simu ya Mpenzi

Pindi la week: Simu ya Mpenzi

Nampa akiomba labda hana salio kupiga kwa amtakaye. Lakini sio pass word
Watu wenye makando kando lazima muwe na wasi wasi kama mnaoga njee 🤣🤣

Mimi nikigundua una wasiliana na mtu nikakuuliza halafu ukakataa kata kata ndiyo umeharibu kwa sababu mpka nakuuliza nina uhakika mna wasiliana

So kama tuna date tunaweza hata kuishia hapo
 
Hiv huwa ni Apia au Apa ?
Apa: Hili ni neno la kitenzi ambalo linaonyesha kitendo cha mtu mwenyewe kuapa au kutoa kiapo (kwa mfano: "Aliamua kuapa/apa mbele ya mahakama").

Wakati mwingine hutumika kama mzizi au kaida ya kutenda. (Kumbuka: Isichanganywe na neno "hapa" linaloonyesha mahali).

Apia: Hii ni kauli ya kutendea (tendea) ya kitenzi apa. Ina maana ya kuapia kitu au kuapa kwa ajili ya jambo au mtu fulani. Inaelekeza kitenzi hicho kinafanyika kwa kumhusisha nchi, mungu, au jambo fulani maalum (kwa mfano: "Aliapia kiapo chake cha uaminifu" au "Aliapia juu ya kitabu kitakatifu").Muhtasari wa Tofauti
 
Watu wenye makando kando lazima muwe na wasi wasi kama mnaoga njee 🤣🤣

Mimi nikigundua una wasiliana na mtu nikakuuliza halafu ukakataa kata kata ndiyo umeharibu kwa sababu mpka nakuuliza nina uhakika mna wasiliana

So kama tuna date tunaweza hata kuishia hapo
So kama tuna date tunaweza hata kuishia hapo
d50e7381-912e-4537-94da-0eec2884cdfe.jpeg
 
Watu wenye makando kando lazima muwe na wasi wasi kama mnaoga njee 🤣🤣

Mimi nikigundua una wasiliana na mtu nikakuuliza halafu ukakataa kata kata ndiyo umeharibu kwa sababu mpka nakuuliza nina uhakika mna wasiliana

So kama tuna date tunaweza hata kuishia hapo
Wewe kwenye mahusiano ulifata kukagua simu?
 
Binafsi mtu yeyote sipendagi ashike simu yangu, hata kukodolea macho wakati natype naghafrika mno sembuse mpenzi kuishika!!

Simu Ina Siri nyingi na nzito
 
simu ya mkononi ya sasa hivi hubeba maisha ya mtu mzima. Ina siri nyingi na nzito kwa sababu inajua mambo yako yote ya faragha, kuanzia mawasiliano hadi siri za kifedha.
 
Watu wenye makando kando lazima muwe na wasi wasi kama mnaoga njee 🤣🤣
Hilo ni wazi, na ni sahihi kabisa. Hilo lipo pande zoteka Me na Ke. Ukiona mtu simu inaita halafu anasogea mbali na wewe ndipo aweze kujibu/kupokea lazima wasiwasi uwepo-kulikoni? Kwa nini hataki nisikie anachoongea au anaongea na nani? (Zipo calls ambazo kweli unajitenga kidogo ili uipokee simu)

Mimi nikigundua una wasiliana na mtu nikakuuliza halafu ukakataa kata kata ndiyo umeharibu kwa sababu mpka nakuuliza nina uhakika mna wasiliana
Kama ni Mawasiliano kwa sms(ku-chat) ni sawa lakini voice calls esp. kama unapigiwa na boss wako lazima ujitenge kidogo kabla ya kupokea. Kama ni jambo Confidential la kikazi sitokuambia ila nitavunga-vunga tu.
So kama tuna date tunaweza hata kuishia hapo
Naunga mkono hoja kwani jambo hilo sio Marathon eti nani anafaulisha zaidi
 
simu ya mkononi ya sasa hivi hubeba maisha ya mtu mzima. Ina siri nyingi na nzito kwa sababu inajua mambo yako yote ya faragha, kuanzia mawasiliano hadi siri za kifedha.
Ewaaah mapenzi yaishie chumbani kukaguana simu nop!! Pengine michongo ya hatare inakupa pesa bibiye atawwza stahimili akijua
 
Binafsi simu wanaitumia kila wakitaka hata kama ni wiki password nakupa ila usije urudi kuniuliza huyu ni nani mara sms hii inasemaje, hapo utajua kwa nini nilikupa paswd na sio pin za mpesa. Japo kwangu halijawai tokea la kulaumiana so siwezi mnyima simu password nikiweka nawaambia ila pin ya m pesa siwezi nikamwambia hata kwa dawa.
 
Hilo ni wazi, na ni sahihi kabisa. Hilo lipo pande zoteka Me na Ke. Ukiona mtu simu inaita halafu anasogea mbali na wewe ndipo aweze kujibu/kupokea lazima wasiwasi uwepo-kulikoni? Kwa nini hataki nisikie anachoongea au anaongea na nani? (Zipo calls ambazo kweli unajitenga kidogo ili uipokee simu)
Sawaa
Kama ni Mawasiliano kwa sms(ku-chat) ni sawa lakini voice calls esp. kama unapigiwa na boss wako lazima ujitenge kidogo kabla ya kupokea. Kama ni jambo Confidential la kikazi sitokuambia ila nitavunga-vunga tu.
Sawa brother
Naunga mkono hoja kwani jambo hilo sio Marathon eti nani anafaulisha zaidi
Hakika amani ni bora kuliko vita
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom