Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 2,823
- 7,432
Uzinzi ndio uniache mimi.Acha uzinzi mkuu 😄
Uzinzi ndio uniache mimi.Acha uzinzi mkuu 😄
Labda nimpe aishi nayo tu.Sina "pasuahead"/password!Je, unaweza kumpa mpenzi wako password ya simu yako bila uoga wowote?
Hapana siwezi kwani ni Hatari sana.Je, unaweza kumpa mpenzi wako password ya simu yako bila uoga wowote?
Kwa kufanya hivo, unayaweka rehani mahusiano baina yenu.Yes naweza kumpa
kama akitaka lakini
Unampa na maelezo kidogo- Preamble au unampa tuuYes nampa bila hofu yoyote kabisa.
Mimi kumpa simu yanguKwa kufanya hivo, unayaweka rehani mahusiano baina yenu.
Waw! Hiyo ndo inaitwa Tahadhari kabla ya Hatari. Jambo dogo tu kwa Me linaweza kuwa ni kubwa sana kwa Ke na hapo ndo kila kitu kinaanza kuwa "pangaru-pangaru"😂Exactly sio kila muda tu anashika simu yako
Iko hiv: Sio kila mtu anafuraia mahusiano yenu. Itakuwa ni rahisi sana kwa m'baya wenu kuwakorofisha just kwa kuandika message chonganishi e.g. ujumbe (wa uongo) lakini wakimapenzi kwa mmoja wenu na itakuwa ni shida kuikanusha na hata ikikanushwa tayari imesababisha doa baina yenu.Mimi kumpa simu yangu
Ndio kuweka mahusiano reheni kipv yaan 🤣
Huyo mbaya wetu wa kuandika hiyo sms ya uchonganishi ni nani?Iko hiv: Sio kila mtu anafuraia mahusiano yenu. Itakuwa ni rahisi sana kwa m'baya wenu kuwakorofisha just kwa kuandika message chonganishi e.g. ujumbe (wa uongo) lakini wakimapenzi kwa mmoja wenu na itakuwa ni shida kuikanusha na hata ikikanushwa tayari imesababisha doa baina yenu.
Atakuwa ni Humo-humo miongoni mwa wanaJamii mlipo. Kwani hujawahi sikia "kikulacho ki nguoni mwako"?Huyo mbaya wetu wa kuandika hiyo sms ya uchonganishi ni nani?
Ametokea wapi ?
Iwe vyovyote vile -lakini tayari kidudu-mtu atakuwa amefanikisha kuwachonganisha.Labda yeye ndiyo atakua nae wa ku mchonganisha sio mimi
Maelezo kidogo njoo nikupe wewe.Unampa na maelezo kidogo- Preamble au unampa tuu
Kasheshe 😅Atakuwa ni Humo-humo miongoni mwa wanaJamii mlipo. Kwani hujawahi sikia "kikulacho ki nguoni mwako"?
So wewe simu yako humpi mpenzi wako?Iwe vyovyote vile -lakini tayari kidudu-mtu atakuwa amefanikisha kuwachonganisha.
Nampa akiomba labda hana salio kupiga kwa amtakaye. Lakini sio pass wordKasheshe 😅
So wewe simu yako humpi mpenzi wako?
Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako Mshana 😂😂Apia😂