lakini mkuu hebua tuangaliane sisiw wenyewe watu weusi na hasa kutoka africa
angalia viongozi wetu na baadhi yetu tunalimbikiza kiasi gani ambacho kamwe hatuwezi kutumia let alone kugusa... tunapeana misamaha ya kodi ambayo ingesaidia kulipia pembejeo za kilimo na watu wapate mazao zaidi, tunapokea rushwa na kuweka nje ili tu tuwe na mali wakati waliotuweka hapo ni maskini wa kutupwa
tunanunulika kijinga kwa mambo mafupi kama udini nk. ili wachache waweke dhahabu na nakshi nyingine kwenye makabati yao
kuna mwanasayansi alisema, sisi "nyeusi" kamwe.... na sadly aweza kuwa mkweli
BTW, huyo mtoto anafanana na MOI wa kenya