Pinda, Werema waomba kujiuzulu. JK kuamua hatima saa moja usiku leo

Status
Not open for further replies.
Wadau nasikitika kusema naachana na kushabikia
wana siasa,

nilio waamini hawa aminiki tena.
nafanya yangu kimpango wangu

chadema niliipenda sana but ndio hivyo tena
yaliyo tokea bungeni leo hii ni ujumbe tosha sana
kwangu.
 
Na kamwe hutajuta kwani CCM bado ni bora daima..usikihukumu chama kwa individual issues...na sisi basi tungekihukumu Chadema kwa issue ya Mbowe kwenda dubai na mbunge wa jinsia ya ke lakini tulimtuhumu yeye binafsi
Kweli jamani? Hali hii ninayoiona mafisadi hawawezi kuisha Tanzania. Na sijui kwanini mamlaka zinawalea hawa.. sitaki kujutia maamuzi yaliyonifanya nione ccm ndiyo chama bora kwangu..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom