lack of team work mkuu............................Nchi hii kila kiongozi anaongea lake
Alikuwa anaongea na wazee wa ccm au??Nimeshangazwa na kauli ya Waziri mkuu Mizengo Pinda kuwa "pamoja na matatizo ya umeme nchini lakini uchumi wa Tanzania haujatetereka hata kidogo...na ndio maana hata viongozi hawatetemeki kuelezea uimara huo wa uchumi.."
Mimi simwelewi Waziri mkuu wangu.
nashindwa kumwelewa jamani, naomba wanaJF mnisaidie huu uchumi ulio imara ni uchumi upi?
Au miye sijui mambo ya uchumi kwa sababu sio fani yangu?