Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,197
Inawezekana kabisa yeye asiwe fisadi, hilo ndio tunategemea kutoka kwake. Lakini ingekuwa ni jambo la busara sana kama angeapa kuwakamata mafisadi wote na kung'oa mzizi wa fitina!
Kwa kuwa kiranja (MKPP)mwenyewe kakataa kupiga kelele tuamini darasa zima halitapiga kelele, atakaye piga kelele anaandikwa jina Mwalimu (JMK)akija viboko.asipokula Yeye Kuna Malowassa Wengi Tu Wamebaki Serikalinikwa Hiyo Atabaki Na Maisha Yake Uku Watu Wanakula Pesa Swala Wajisafishe Toka Chini,,ufisadi Uko Kuanzia Kata
gday
Anakula ARVHakula kweli.