Pinda nae huyooo..

Pinda nae huyooo..

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
269391_530995606952502_2115214437_n.jpg
 
Leo wako South Africa,leo China,leo UK,leo New York,leo Uarabuni.

Tujipe pole Watanganyika!Wenzetu wanatibiwa na medical check ups Ulaya.
MUHIMBILI ni walala hoi.
Ndio maana wameamua kutetea kwa nguvu status quo!

Mojawapo ni kutaka kuua media!Tumeona Mwangosi,Kubenea,Kibanda etc
 
kiongozi wa kwanza wa Afrika kusalimiana na Habemus Papam Fransiscum.
Rekodi ya kujivunia.
 
Nimesoma kwenye media moja rais wa Botwana huwa anakataa hata kuhudhuria mikutano ya AU maana analalamika sana anatumia muda na gharama kubwa kusafiri kuhudhuria mikutano mbalimbali ila akifika kwenye kikao au mikutano hiyo anapewa dak tano au saba kuongea.
Sasa analalamika hizo dak tano au saba za kuongea hazilingani na gharama na muda aliotumia kusafiri. Pia yale yanayoongolewa kwenye mikutano hiyo mengi yake hayatelekezwi maana vikao au mikutano hiyo haina maamuzi au mandate kulazimisha yafanyike.
Ameamua hatoenda kwenye mikutano hiyo au vikao vya aina hiyo.
Ni lini hapa kwetu tutakuwa na thubutu hiyo
 
kiongozi wa kwanza wa Afrika kusalimiana na Habemus Papam Fransiscum.
Rekodi ya kujivunia.

Kwa kufuata Protocol nadhani wa kwanza kwanza alikuwa Robert Mugabe.....yeye alikuwa wa mwisho mwisho maana kulikuwa na President kibao siku ile kuapishwa!
 
Kwa kufuata Protocol nadhani wa kwanza kwanza alikuwa Robert Mugabe.....yeye alikuwa wa mwisho mwisho maana kulikuwa na President kibao siku ile kuapishwa!
bahati mbaya wametupiku this time.
Najiuliza sababu za Kikwete kutukosesha rekodi hii, huwa hatuangushagi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom