Yaani hata wewe nae unaamini kwamba JK hajaidhinisha wabunge kulipwa posho mpya? hivi JK mpaka atawale miaka mingapi ndio mtamjuwa tabia yake? kwahiyo na wewe mpaka leo unaamini kwamba JK hawajui wamiliki wa Richmond/ Dowans?Kutunza heshima yao kwa jamii kuna haja ya kustep down
Hivi huwa mnatumia angalau sekunde kutafari kabla ya kupost humu? posho wameongezewa wabunge kama walivyokuwa wanahitaji akiwemo Joseph Selasini na Magale Shibuda, sasa unataka wakomalie lipi? mbona huweleweki?Hata kama ameidhinisha au hajaizinisha, lakini kwa kauli zinazopingana, somebody lazima awajibike hapa, na kwa hili hawezi kuwa JK, should be Pinda and Makinda.
Ntakuwa wa kwanza kushangaa kama wabunge hawatakomalia hili kama walivyokomaa kwa Lowassa. Pinda anatakiwa kujipima mwenyewe ktk hili.
Hizi ni ndoto za mchana.... labda useme kwamba ungekuwa Rais kitu ambacho ukitia nia unaweza kuupata.... lakini unaposema ungekuwa JK sikuelewi!
taharir squire yetu tuiweke wapi????
Posho za wabunge
Licha ya wanachi waliowengi kulalamikia kitendo cha wabunge kujiongezea posho, lakini wawakilishi hao wa wananchi bado wameweka pamba masikoni bila aibu wameshikilia tama zao za fedha bila kuwajali waliowachagua na jana 31 jan 2012 Waziri Mkuu mh Mizengo Pinda akatangaza kuwa posho hizo zimeongezeka naye Spika wa bunge akathibitisha kuwa rais Jakaya Kikwete ameshasaini muswada wa posho na sasa ni sheria kuwa wabunge walipwe posho hizo mpya wanazodai. Kwa hesabu za haraka haraka kwa mwaka mmoja tu posho za wabunge (ukiondoa mishahara yao, posho za vikao vya kamati, posho za semina wakati wa wikiend, gharama za mafuta, mchango wa maedeleo ya jimbo) zinafika karibu bil. 12,474,000,000/=. Hapa nimechukua wastani wa siku mia moja wanazotakiwa kukaa bungeni kwa mwaka mzima( wiki 3 mwezi February, wiki 3 mwezi April, wiki 3 mwezi October na siku 72 kwenye bunge la bageti mwezi June ukatoa wikiendi zote). Hizi ni gharama za vivuko viwili kama cha mv. Magogoni. Hapa najiuliza hawa wabunge wanania ya kweli kumtetea mwananchi?
1. Mikael P Aweda
GHARAMA
Safari ya mwisho ( safari ya 322) ya Davos iliigharimu Serikali Tsh mil 300. Nikiamu kuchukua theluthi mbili ya gharama hizo - yaani mil 200, kisha nikazidisha kwa idadi ya tripu 322. Jumla yake ni 64,400,000,000. Mabilioni haya ni mengi sana. Ukizigawa mil 50 ambazo ndio gharama ya kujenga zahanati mmoja kwa wastani, utapata jumla ya Zahanati 1288. Zahanati hizi ni sawa na idadi ya siku alizokaa nje ya nchi Rais wetu(refer red above).
Pili,Kiasi hiki hizi zingetosha kuweka Zahanati kwenye zaidi ya 50% ya kila kata nchi nzima. Nchi yetu ina kata 2000 na kidogo. Ikumbukwe kuwa Tz wanawake wajawazito kati 24 hadi 36 kwa siku wanakufa kwa sababu kadhaa ikiwepo kutokuwepo kwa zahanati au ziko