Pinda asinzia Bungeni asubuhi hii

Pinda asinzia Bungeni asubuhi hii

tz1mbatia.jpg

Hahahahahaaa hii nimeipenda tukianza kuchafuana hapa hakuna atakaepona .
 
MBOWE ASINZIA BUNGENI ASUBUHI HII

Mwenyekiti wa chama cha
CHADEMA na KUB na mwenyekiti
wa UKAWA leo asubuhi
ameonekana kwenye runinga
akisinzia, tabia hii ni hatari kuwa
na wabunge wakusinzia bungeni.
Amka mwenyekiti.

BOKO KHARAM
Hili Lina Uzi wake , na jua tu kwamba Pinda na Mbowe ki majukumu wanafanana wawapo Bungeni ........
 
Hahahahahaaa hii nimeipenda tukianza kuchafuana hapa hakuna atakaepona .

Umeona eh!Yaani kutwa kucha kwa wapinzani,mapigo yake yakirudi kwa chama chetu mh!Wengi tutakuwa mbogo kama Madame wa Maghorafa na Mahekalu.
 
NI MBOWE ALIO SINZIA WW

acha kumchafua MTOTO WA MKULIMA

SENZI WE

Mtu mzima na akili zako unashabikia ccm. Wewe ni kama kisim mbooo inaingia inafaidi inakojoa inatoka unajitia mlinzi wa geti. Wanaoifaidi ccm hawaishabikii kwa taarifa yako. ndio maana pesa zao za wizi wanahifadhi uswisi. nyambaavj fanta yakoo
 
Na mimi juzi nlikuwa kwetu bush sasa nlikuwa na safari ya kwenda town na nauli ni karibia elf 15, mara mida ya asubuhi wakati najiandaa nkaona mafuso kama kumi yanarandaranda huku yakiwa na bendera za maccm pia kukiwa na vjana wamelewa pombe wakawa wanagawa tshirt na elf 5 kwa kla anayepanda kwenda mjni kwenye mkutano wao,yeleuwii nkajiongeza fast na mimi nkapanda ili kukwepa gharama na nkapewa na elf 5 mle kwny fuso tukawa tunaambiwa tuimbe na kushanglia basi nlpofka town nkashuka nkaendelea na mambo yng na c mkutano wao,nkavua na tshirt lao nkalitunza kwan ndo tiket ya kurudia tena,ooh imefka jion narud pale mkutanon ili npate lift na kuimba hakuna cha fuso wala nn acha watu wahangaike hasa ambao hawakuwa na shekeli maana naul n elf 15,asanteni wakuu nmemaliza.
 
propaganda
 
Watu wanasinzia darasani na kwenye ndege wakati iko angani kwani bungeni nini cha ajabu.

Kilicho cha ajabu ni kitendo chake chakusinzia nusu saa tu baada ya mjadala kuanza!! We kweli popo, huoni taabu kwa PM kusinzia?! Akikojoa pale bungeni utasema mbona walevi wanakojoa popote!!! Funguka mkuu, una akili nyingi sana ila unatumia asilimia 2 out of 100
 
hahahaaa!! huyo alesinzia ni waziri wa nn?

Wewe! Huyo ndio mkulu mwenyewe hapo anapata ka ahueni kidogo. YanayoUngumzwa sio muhimu kwake bora kahudhuria mnuso huo.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Kwa idadi ile ya watoto ataacha.kusinzia kweli??!! Nahisi huwa anaendaga majuu saa nyingine kuuchapa tu kwenye five star hotels huku akifanya health checkup
Pamoja na mimi sio mtu wa siasa naomba tumuheshimu rais wetu hii picha iondolewe jamani
 
Back
Top Bottom