Pinda asinzia Bungeni asubuhi hii

Pinda asinzia Bungeni asubuhi hii

Mods,
Naomba tuilinde heshima ya Kiongozi wa shughuli za Serikali Bungeni!!!
Hii haifai hata kidogo, kuleta uzi wa kinafiki katika hili jukwaa.

cc · Paw,
· PainKiller,
· Fang,
· Buchanan,
· Cookie

Acha mkuu wa shughulli Bungeni. Umeonyeshwa kuwa hata mkulu mwenyewe huwa anauchapa kama kawa. Akitoka hapo anamwambia waziri saini tuu huo mkataba. ImageUploadedByJamiiForums1401357689.840612.jpg


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Copy na Ku-paste bavicha hakutawasaidia.

Mods, Please tuondolee huu uzi.

Muwe na moyo mkuu,
tulia dawa iwaingie,
mwiba unatokea ulipoingilia.
Kazi yenu kulialia tu, asubuhi mmeongea sana, acha na sisi tuongee.
 
Tulishaambiwa kuwa Watanzania hufikiri zaidi wanapokuwa usingizini !

Wenzetu ( Uingereza) waliruhusu Wabunge wao kuaangalia picha/ habari za mitandaoni wakati wa Bunge ili kupunguza uchovu. Naamini wote wameunuliwa komyuta pakato kwa jambo hilo?
 
mods ondoa hii picha inadhalilisha mamlaka.

Acha mkulu atafakari wewe kwani kusinzia ni dharirisho au hujui mkuu wetu anakazi nyingi sometimes zinapelekea kudondoka kwa uchovu wa kazi nzito hebu fanya kumsikiliza mjepo hapo juu mkuu hakuna dhambi ya kusinzia duniani.

BACK TANGANYIKA
 
Mtu mzima na akili zako unashabikia ccm. Wewe ni kama kisim mbooo inaingia inafaidi inakojoa inatoka unajitia mlinzi wa geti. Wanaoifaidi ccm hawaishabikii kwa taarifa yako. ndio maana pesa zao za wizi wanahifadhi uswisi. nyambaavj fanta yakoo

Me hoi mkuuu... yani Fanta Yake tena.
 
MBOWE ASINZIA BUNGENI ASUBUHI HII

Mwenyekiti wa chama cha
CHADEMA na KUB na mwenyekiti
wa UKAWA leo asubuhi
ameonekana kwenye runinga
akisinzia, tabia hii ni hatari kuwa
na wabunge wakusinzia bungeni.
Amka mwenyekiti.

BOKO KHARAM

Unajitekenya na kujichekeshachekesha utaokita kopo dada yangu
 
propaganda

kama magamba ambavyo huwa mnakurupuka na kusema chadema imekufa kisa hawapgi mikutano kama zamani mnasahau kwamba nguvu zote zmeelekea kwny katiba maana hyo ndo inawaweka madarakani, ikibadilishwa tu hyo kwisha magamba bla kusahau daftari la wapga kura kuboreshwa, yule mandovu na vuvuzela baada ya kuchota zile bil.200 ndo wanazchezea kuzurula na kusomba watu na mafuso.
 
Back
Top Bottom