Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
Pinda amewatosa wenziwe ili yeye abakie ila habari za ndani zinasema kama hela wamekula wote na kugawana basi hakuna sababu ya yeye abakie wengine wazame watazama nae ,ila siamini kama wanaweza kumhusisha katika kesi zitakazofuata. Wanasema ni suala la muda tu.