Pinda ameatosa wenziwe na kusepa

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Pinda amewatosa wenziwe ili yeye abakie ila habari za ndani zinasema kama hela wamekula wote na kugawana basi hakuna sababu ya yeye abakie wengine wazame watazama nae ,ila siamini kama wanaweza kumhusisha katika kesi zitakazofuata. Wanasema ni suala la muda tu.

bot-564x272.jpg
 
Hahahahahaaaaa ni suala la muda tu. Time will tell. Kwahio wameondoka wakiwa wamekamiana eeeee. Ngoja wamalizane
 
Pinda amewatosa wenziwe ili yeye abakie ila habari za ndani zinasema kama hela wamekula wote na kugawana basi hakuna sababu ya yeye abakie wengine wazame watazama nae ,ila siamini kama wanaweza kumhusisha katika kesi zitakazofuata. Wanasema ni suala la muda tu.

bot-564x272.jpg

Mara zote yeye wenzake wamekuwa wakitokewa sadaka ili kumuokoayeye
 
Isije ikawa ile namba ya akaunti ktk mkombozi benki iliyonufaika na escrow aliyosema Filikujombe kuwa CAG alikataa kufichua ni ya nani ni ya Pinda.
Wadau anayeweza kupata mwenye akaunti hiyo.
 
Huyo mwenye uti anati hurma! inaelekea akisurvive atarevange tu!
 
Back
Top Bottom