Pinda anatimuliwa kama wewe ulivyotimuliwa umoderatorKwani Pinda ni mjumbe wa kikao hicho cha Kamati ya Uongozi?
kujiuzulu peke yake haitoshi
BABU PETER KAYANZA MIZENGO PINDA
majina yote manne yana dhihirisha hatua unayotaka kuchukua .pita_yaan aondoke apite_kayanza...yaan ndokayanza mapito.mizengo_mambo yame mwendea mazengo. yaan kiatu cha kulia kavaa kushoto kushoto kavaa kulia.PINDA yaan hapo ndo mambo yamepinda vibaya.
Awamu hii hatuitaji kujiudhuru pekee ni lazima na hatua za kisheria zichukuliwe ikishindikana wananchi tuhamsishane ili tuwahukumu hawa wezi na ikiwezekana WAPIGWE TU.
Kumbuka Na Mbowe naye wanamtaja taja...
TETESI;AGREY MWANRI WAZIRI MKUU MPYA.
chanzo:hisia zangu na mke wangu.
TETESI;AGREY MWANRI WAZIRI MKUU MPYA.
chanzo:hisia zangu na mke wangu.
Bora yang'oke yote majizi hayo.
Taarifa zilizonifikia japo sijazibitisha ni kwamba waziri mkuu pinda amekubali yaishe kwenye kikao cha uongozi bungeni kilichodumu kwa zaidi ya masaa matatu. Stay tune