Pinda akubali kujiuzulu jioni hii

Pinda akubali kujiuzulu jioni hii

Status
Not open for further replies.
Updates:

Ni kweli amekubali ila amesema hatma yake itategemea majadiliano ndani ya bunge, ikiwa wabunge wataamua kwa kauli moja kuwa niondoke nitaondoka, amesema pinda.

Werema naye amekubali kujiuzulu.


Tibaijuka naye karidhia

Ila muhongo ndo bado.
Muhongo ndiyo zake.ana kiburi kweli,anajiona kipanga wakati kilaza tu,Kikwete tuwekee Proph Maboko au Proph Mruma hapo Wizara ya nishati
 
Mh Pinda hawezi kufanya hivyo ni king'ang'anizi sana!
 
Hii habari ni kweli. Ninayo kutoka kwenye reliable source Dodoma hipo Whatsapp. Ngoma imenoga
 
Leo sijawaona hapa, LIZABON, LAKI SI PESA, SIMIYU YETU, FAIZA FOX nk. sijui wamebadili ID?
 
kung'oka bila kurudisha hela ni utoto wa hali ya juu!!!!!!!!!
 
Taarifa zilizonifikia japo sijazibitisha ni kwamba waziri mkuu pinda amekubali yaishe kwenye kikao cha uongozi bungeni kilichodumu kwa zaidi ya masaa matatu. Stay tune

Asante sana kwa umbea mzuri si rahisi kihivyo mnavyodhani najua kambi ya Lowassa mnahangaika sana kufanikishaa hilo hakuna kitu kama hicho.
 
Nimjuavyo pinda hilo litakuwa gumu sana kwa sasa!
 
nasubiri muda ufike nimuone pinda anavyolia , maana atakokotoa hadi basi halafu ataliaaaa then ajiuzuru
 
nasubiri muda ufike nimuone pinda anavyolia , maana atakokotoa hadi basi halafu ataliaaaa then ajiuzuru

Leo cjui watambembeleza au vp!bt binafsi naona hili ni ngumi
 
Leo sijawaona hapa, LIZABON, LAKI SI PESA, SIMIYU YETU, FAIZA FOX nk. sijui wamebadili ID?
Hao jamaa baadhiyao wamebadili dini, kutoka Ujambazi kwenda Utaifa kwanza. Wengine hapo usitegemee kuwaona hivi karibuni.
 
Taarifa zilizonifikia japo sijazibitisha ni kwamba waziri mkuu pinda amekubali yaishe kwenye kikao cha uongozi bungeni kilichodumu kwa zaidi ya masaa matatu. Stay tune

By Bye Mr Handsome Wapigwe! We loved you, but we love our nation so much!
 
Taarifa zilizonifikia japo sijazibitisha ni kwamba waziri mkuu pinda amekubali yaishe kwenye kikao cha uongozi bungeni kilichodumu kwa zaidi ya masaa matatu. Stay tune

amini amini nakwambia hilo haliwezi kutokea ni Mzee wa kaya mwenyewe atabwana manyanga na sababu kubwa ni Afya ,uchaguzi mapema sana mwakani
 
Kuna habari za kuaminika kuwa KINANA atapewa UWAZIRI MKUU mara baada ya PINDA KUNYOOSHWA jioni hii.
Source: Tembo ( Mikumi).

Kwani Kinana ni mbunge wa jimbo gani? Usilete utani kwenye serious issue. Ujue watanzania tumepagawa hivyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom