Pinda ahalalisha mgomo wa madaktari,huku wanaharakati wakimwaga mboga,haponi mtu kesho.

Jana walikuwa wanasema hakuna daktari atakaye goma leo wamegeuza wamejiandaa kesho watasema tulikuwa tunatania njooni tuzungumze.
 
Hauwezi kamwe kuahirisha mauaji yanayofanywa na Jk na washikaji zake kwa watu wengine. Wakati nchi inaingizwa kwenye mgogoro mzito yeye amejichimbia kwa wakwe huko moshi.

Japokuwa huu mgomo utatuletea machungu makubwa sisi walalahoi, bado tupo nao na tunawaunga mkono kuleta ukombozi mkamilifu kwa wafanyakazi wengine wote dhidi ya hawa wanasiasa uchwara tulio nao. Hebu ona hata hili la umeme, kukosekana umeme kumeparalyse uchumi wa nchi na bado waziri mwenye dhamana anasema sijiuzulu ng'o.

Haya maneno ya kutojiuzulu ng'o, wamweleze Jk, sisi raia hatutawaelewa kamwe na kilichobaki ni kuwapopoa mawe kila tuwaonapo. Kama kuwajibika kwa kujiuzulu ni aibu kwa hawa mawaziri basi hata uteuzi wao kwetu sisi raia ni aibu.
 
These activists behave as if they do not belong to the same community as other poor Tanzanians. What do they benefit from their participation in stirring up unnecessary strike which in the end will hurt innocent members of public including their own relatives. Are they poised to provide for children who will soon turn orphans after losing their parents in what seems to be a completely avoidable strike?
 
Hao wanaharakati wanachochea migomo ili wapate kazi ya kufanya waendelee kula hela za wafadhili. Mwanaharakati wa tanzania hana kazi za kufanya kwahiyo ndio nafasi wanazotafuta hizo. Mi nilitegemea wanaharakati wangewasihi madokta waendelee na kazi halafu wao waingilie kuweka pressure kwa serikali.

Bahati mbaya wanaharakati wetu wanaona bora watu wafe ili kuikomoa serikali.
 
Umeamua uje na h8 ujinga wako.kama wanaharakati wanasikiliza nch za magharibi basi na wewe unawasikiliza akina ccm na serikali yake.wewe ni mlamba viatu,una mawazo pogo na kwa ujumbe huu wewe ni kada wa ccm ambaye unashnda unapayuka ata usilolijua.bisimba, nkya na namara hawa awakopeshi. Nchi inaitaji mtu atakayetukimbiza sio anayekwambia chuchumaa. Natamani tupate rais atakayepiga viboko mawaziri na watendaji wa bovu serikalin
 
Mgomo umetangazwa rasmi. Furahini sasa na mshangilie kila mtakaposikia wamefariki ishirini Muhimbili, kumi Temeke na Hamsini Mwananyama ili mkakusanye Damu mkaiwakilishe FREEMASONS.

Hongera PM kwa kutangaza kuwa mmefanya maandalizi ya kutosha kukabiliana na mgomo huo wa Ma-FREEMASONS unaoongo na huyu mhutu.

Mungu ibariki Tanzania.

Kwa pamoja tulaani uroho huu wa Vibaraka wa nchi za Magharibi wanaojivika kofia ya uana harakati.

Hakika hakuna wa kunishawishi nikubali kuwa Serikali ndiyo yenye makosa na siyo Madaktari na Wanaharakati kwa sababu UHAI HAUPIMWI NA LOLOTE LILE. Kamwe huwezi kulinganisha uhai na kujiuzulu hata siku moja. hakuna sababu ya kutoa uhai wa mtu sababu eti mtu kakataa kujiuzulu. Tukeshe leo tukiomba haya yaweze kuwarudia wanaharakati.

Tutakapo kwenda kutupa udongo kwa marehemu hawa na tuseme :
Uliumbwa na mungu umeuawa na NAMALA, BISIMBA NA ANANILEA-tangulia mpendwa wetu Mungu anajua mwisho wa yote Amina.

**** of the century
 
Umeamua uje na h8 ujinga wako.kama wanaharakati wanasikiliza nch za magharibi basi na wewe unawasikiliza akina ccm na serikali yake.wewe ni mlamba viatu,una mawazo pogo na kwa ujumbe huu wewe ni kada wa ccm ambaye unashnda unapayuka ata usilolijua.bisimba, nkya na namara hawa awakopeshi. Nchi inaitaji mtu atakayetukimbiza sio anayekwambia chuchumaa. Natamani tupate rais atakayepiga viboko mawaziri na watendaji wa bovu serikalin

Namala Mkopi huyu mtu yuko very smart upstairs na ana msimamo hayumbishwagi kwa hoja za kijinga,nilisoma nae darasa moja Azania Secondary,i know him kiasi fulani!anapigania anacho amini kiko sahihi!tatizo mkuu washadadiaji wengi wa chama cha magamba upeo umekua mdogo sana,hiko ndicho kinachowagharimu,ni watu wa jazba,fitina na malalamiko tu!wanashndwa kuelewa kua siasa ni maisha,na si ushabiki wa kijinga
 
Akina mama hawa ndoa zao ziliwashinda waliamua kuingia kwenye taasisi za wanaharakati. Familia zao zimevunjika ndio wataliweza taifa? hawa ni waharibifu tu.

Familia bora huzaa taifa bora lakini wao wakasambaratisha familia zao lakini wanapigania kupata taifa bora.
 
Umeamua uje na h8 ujinga wako.kama wanaharakati wanasikiliza nch za magharibi basi na wewe unawasikiliza akina ccm na serikali yake.wewe ni mlamba viatu,una mawazo pogo na kwa ujumbe huu wewe ni kada wa ccm ambaye unashnda unapayuka ata usilolijua.bisimba, nkya na namara hawa awakopeshi. Nchi inaitaji mtu atakayetukimbiza sio anayekwambia chuchumaa. Natamani tupate rais atakayepiga viboko mawaziri na watendaji wa bovu serikalin

virusi vya chama cha maandamano
 
Naomba kila mtu ajuee tunagoma si kwaajili ya kipato chetu tu ila tunataka sekta ya afya iboreshwe,unamuona mgonjwa baadhi ya vipimo havipo hata vikiwepo dawa hakuna unamwambia mgonjwa akanunue
 
Akina mama hawa ndoa zao ziliwashinda waliamua kuingia kwenye taasisi za wanaharakati. Familia zao zimevunjika ndio wataliweza taifa? hawa ni waharibifu tu.

Familia bora huzaa taifa bora lakini wao wakasambaratisha familia zao lakini wanapigania kupata taifa bora.

Leta ushaidi
 
Umekwama. Madaktari katika barua yao, hawajasema kuwa wanagoma kwa sababu ya kuwataka waziri na naibu wake wajiuzulu tu. kuna zaidi ya hayo; vifaa, madawa, kutimizwa kwa ahadi za serikali zilizotolewa na Pinda.

Mungu akurehemu
 
Naomba kila mtu ajuee tunagoma si kwaajili ya kipato chetu tu ila tunataka sekta ya afya iboreshwe,unamuona mgonjwa baadhi ya vipimo havipo hata vikiwepo dawa hakuna unamwambia mgonjwa akanunue

hospitali zetu hata vifaa vikiwepo huduma kwa wagonjwa mbovu wanapigania maslahi yao kwa kivuli cha kuboresha mazingira ya kazi. Midomo yao tu ukifika hospitali haina uwiano na wanachotetea
 
halafu kumbe kijo bi simba sio mtanzania bana,ameikimbia rwanda kuja kufanya fujo huku
 
Back
Top Bottom