Umekosaa mkuu try againKwenda kulia unaongeza kwa 2.
Kwenda kushoto unapunguza 2.
Hivyo..
B = 4
F = 8
D = 6
J = 8
K = 13
merengo90 leo umeletwa swali la kitoto sana hata akili yangu haijasumbuka kupata jibu. hahaha ha
Leta jibu, ...
Leta fasta, wakati navuta usingiziThere u re......hongera ,vip nkupe lingine…?