Pillow talk: Nafasi ya elimu katika mapenzi

Unatumia njia gani kuleta maelewano pale mnapokosa na mwenzio?
 
hahaha enzi zangu st kayumba ningepewa adhabu ya kuokota makaratasi uwanjani i miss old days ila sipigi tena kelele

Au adhabu yakumwagilizia maua kwa kila siku lazima uende ma maji shuleni
 
Kwann mwanaume mnaogopa kuoa msomi kuna madhara gani
Tatizo ni nn hasa

Ulishawah kuumizwa in love[/QUOTE]

Huwa sio fresh na wametumika sana pia wengi wao wanajiona wako juu ya kila kitu. Nature inataka mume awe kichwa cha familia nae hatoweza kuwa subjective na kujisubmit ktk ndoa.
 
woooooow
 
asante sana
 
Very interesting conv... thankx ICHANA nimejua na mengine nisiyokuwa nataka kujajua kuhusu huyu mupenzi wangu
 
Last edited by a moderator:
Unatumia njia gani kuleta maelewano pale mnapokosa na mwenzio?

asee hili swali lako sikuliona kabisa!
ila naweza kulijibu..

Kati ya vitu ninavyoepuka ni kumkosea mpenzi wangu...
nampenda sana,.. na endapo nitamkosea nitakuwa tayari kushuka na kumwomba msamaha!!
Kusameheana na kuvumiliana ni bonge la njia ya kusolve tofauti zetu...
 
Very interesting conv... thankx ICHANA nimejua na mengine nisiyokuwa nataka kujajua kuhusu huyu mupenzi wangu
Hivi ni kweli nyie wapenzi?
Siku zote nikifikiri ni mbwembwe za kiJF kumbe mko next level..! Hongereni..!

ICHANA kiwatengu big up..nimeupenda mjadala..
 
Last edited by a moderator:

Ooooh thats gud kwakweli.Mie nawaombea kheri katika maisha yenu na mpenzio
Cc. shansarie
 
Last edited by a moderator:
Very interesting conv... thankx ICHANA nimejua na mengine nisiyokuwa nataka kujajua kuhusu huyu mupenzi wangu

My dia u ar blessed to get kiwatengu

Niliogopa kukuita ushuhudie cos angeogopa kufunguka
Mungu akubariki kwenye ndoa yako

Anakupenda sana na kashasema wewe ndo zaid ya wanawake woote
 
Last edited by a moderator:
Usingizi ulinibaka nikashindwa kua nanyi,nimependa conver....haya wale wasumbufu wapite mbele wapige magoti na waite ndege kwa masaa mawili!
 
thnx for the show ichana & kiwatengu kwa kujibu maswali kwa ufasaha & uwazi it was amazing.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…