Pilau la offer

Laah halafu nyama ndio zimebaki!! hatari
 
Huyu jamaa anaonekana ni gwiji wa kufinya wali mchafu...

Kwa pembeni hapo ana chachandu kwa ajili ya kuongeza njaa...
 
waje mbuzi wa baada ya eid wako apii mshana jr ulikula mwenyewee
 
Nimeshajitahidi kufanya research kwanini waislamu wanapenda sana kula nikagundua wanafanya hivyo kufidia siku ambazo hawali mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…