The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 11,132
- 14,637
Habarini wakuu !
Hivi karibuni kidume katika kutafuta pesa nilikutana na mganga mmoja wa tiba za asilia kwa majanga yangu ya kimaisha ya kuzindika mashamba ya kilimo (Wakulima mnanielewa) sasa kila nikienda kwake nakuta anakula pilau ,nikatanabahi ikabidi nimuulize ,akaniambia pilau inasidia kulinda heshima kwa mama yoyo nkamuuliza kivipi? mi mbona huwa naambiwa ni vyakula vya wanaume wa dar .
Akaniambia pilau halisi sio lile la kununua vikopo vya masala hutumia viungo ambavyo vina tibu kabisa nguvu za kiume akaniambia ndio maana wazanzibari hawana mazoezi ila kwenye kwachu kwachu huwa wanyama wabaya ulizia warembo juu ya wapemba wanoongoza kwa kujichana mapilau.
Basi nami bila ajizi nikaamua nije na sababu kisayansi ila za kugoogle (mi ni kilaza) twendage :
Irikii- ndani yake ina kikemikali kinaitwa cineole hiki huongeza kasi ya mzunguko wa damu hivyo kuongeza tamaa ya ngono na mtaimbo kusimama imara na kuwa mgumu kama nyundo ya muhunzi.
Kitunguu swaumu : Hii huwa na kemikali ambayo huitwa allicine hii huyeyusha mafuta mabaya kwenye damu na kufanya damu kutembea kwa spidi ,tofauti na iriki hii ikitumika kwa muda hutatua tatizo mazima.
mdalasini : hii huondoa uchovu wa mwili hasa misuri na kukupa hali ya kujiskia mpya kama umetoka kuamka ambayo ni nzuri kwa show kama zile za GuDume shem wa wazenji.
Karafuu-Hii ni kama tangawizi kwa wanaume huongeza homoni za udume testrone na kukomesha tatizo la kukojoa mapema kwani inapunguza uwezo wako wa kusikia utamu.
Tangawizi : Hii nzuri sana kwa kuzuia kuwahi kukojoa kwani yenyewe husafisha mitaro ya damu na kufanya ikimbie zaidi na inafahamika dushelele ili isimame macho yanapeleka tafsiri ya kingono kwa ubongo ubongo unatuma ujumbe kwa moyo kukimbiza damu sasa unakuta mishipa inamimafuta (lehamu mbaya ) mto usipoenda spidi kutokana na mvua basi umeme utazarishwa kidogo sawa
RAI : Wanaume wa Dar hebu kuleni pilau msisahau na makachumbali ila isiwe ile ya maunga ya masala iwe kitu halisi inapatikana sana pale magomeni mapipa kuna migahawa kama mitatu hivi wana pilau all the time natural.
NB: Sijihusishi na biashara ya viungo,sijui kupika pilau hilo,sitaki mtu inbox ,na sitangazi mgahawa wowote asnteni.
Kwa jinsi ya kupika pilau lenye tija hii soma comment namba 10 iliyokuwa copied toka kwa Rubi